Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

ukipenda vya kunyonga, vya kuchinja hutowezea, wataishia kuchezea, thamani yako potezea. Jihadhar na player, ruta kaelezea.

Mapi uko kwenye mstari.....ni kuwa mwangalifu kila mahali mtu unakanyaga..............
 
Last edited by a moderator:
Kyaiyembe.............sijakimbia hii topic kwangu imekaa zaidi kupata ufahamu naona vitu in all new light............nimekaa na kuwatafakari watu fulani na bahati nzuri tafakari yangu inaanza kunionyesha mambo fulani

lemonade hii nimeipenda kama kuna kitu umepata humu basi ni swafi kabisa...........................malengo yametimia kabisa........
 
Last edited by a moderator:
In life, everyone has a role... and players have special roles too

I saw life in a different light when i was in college, i had the best part of my youth, yet, i am seeing life in a much wiser context simply because i had my youth as it was supposed to be

There is nothing brighter in a man than a satisfied woman with those shinny eyes!!:violin:
 
Rutashubanyuma asante sana kwa uzi huu
Kweli player ni noma na huwa anajitambua kuwa yeye ni player na mawindo yake
Huwa hakosi windo hata siku moja na wanajaliwa sana kukubaliwa
 
You know what Rutashubanyuma i just realized i have been duped.........all the men i have been associating myself with wana element za u player.................nafwaaaaa
usikonde dogo............ kwenye normal distribution curve asilimia sabini wapo kundi hilo unaloliona, waliobaki ni wachache na wana sifa mbalimbali kuanzia abusive, ushoga, midomo zege, joni kisomo nk

Youa re in teh right pool
 
Back
Top Bottom