Sabodo kwanini asijivue gamba tu tujue moja,mi naona huyu mhindi kama anatuzingua tu,huwezi kuwatumikia mabwana wawili,anasema chadema ni bora lakini ahamii huko,what i s that?
Kuna swali zuri sana limeulizwa juu ya vyanzo vya mapato vya Sabodo. Naomba utusaidie kwa hili..
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
Data nyingi za wikipedia kwa nchi zetu masikini huwa zinakuwa outdated. Tafuta source nyingine but siyo hiyo!Mustafa Jaffer Sabodo - Wikipedia, the free encyclopedia
Ukifanya biashara halali unakua huru kama mzee wetu Sabodo.
Mkuu hauitendei haki ID yako,maana hoja unazotoa ni nyepesi mno na hazina tija kwa dunia ya sasa!wewe unasukumwa na ubaguzi na chuki kwa mafanikio waliyo nayo wahindi,kama ni wizi si kweli kua wahindi wote ni wezi,kwanza lazima uelewe mtu kama Sabodo ni tajiri toka enzi za uhuru,na huyu ni mmoja wa wazalendo wachache waliojitolea kumsaidia Mwalimu Nyerere kipindi hiko!!kama ni wizi Tanzania bila shaka watu weusi hasa viongozi wetu wa serikali ndio wanao ongoza kwa wizi nchi hii,tena mwingine ni wizi wa wazi na wa kibabe!kushindwa maisha kwetu tusitake kutupa visingizio kwa wahindi huko ni kufirisika kifikra,tunatakiwa tujilaumu kwa uzuzu wetu wenyewe!kama umebahatika kutembea nchi zilizoendelea kama Usa,uk,Netherlands,Norway etc utaona ni jinsi gani wahindi walivyojibidisha na wengi kuwa wafanyabiashara hasa wa maduka kama ilivyo hapa kwetu na hata wengine wengi kua ktk sekta muhimu kutokana na taaluma zao!kuwachukia na kuwalaumu si haki na wala haitakusaidia kujikwamua na maisha
Data nyingi za wikipedia kwa nchi zetu masikini huwa zinakuwa outdated. Tafuta source nyingine but siyo hiyo!
Hata kenge ana akili kukuzidi!wameshapiga hesabu ccm inaondoka wanogopa kufukuzwa'kwa taarifa tu ni kwamba nyuma yake kuna wahindi kibao wameshachanga hela za kutosha tayari kulindwa na chadema'umaskini bana!
mzee anatafuta umaarufu wa uzeeni huyu
Watamfanya nini bilionea mwenyewe biashara zake kubwa ziko nje ya nchi
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
Mungu wangu!! Dr. Slaa naona anakukuna sana kila siku huwa unamuota ukilala.Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu