Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

Sabodo kwanini asijivue gamba tu tujue moja,mi naona huyu mhindi kama anatuzingua tu,huwezi kuwatumikia mabwana wawili,anasema chadema ni bora lakini ahamii huko,what i s that?

hahahaaa!! Ee bwanae umenifanya nicheke mkuu!! Yaani CCM mnaubavu wa kumfukuza Sabodo!!?? Thubutuuu!! Nani ccm ataweza kumnyooshea kidole?

Mkuu usione aibu jivue gamba na wewe uwe binadamu!! Kama imekukera sana ya Sabodo jinyonge tu!!!
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu

Lini tena umekuwa mentor or advisor wa CDM?
 
Asante sana Mh: Sabodo

Matendo yake yana-peak louder than anything.

(Although, stupidly, I sometimes don't understand fully his intentions)
 
Mkuu hauitendei haki ID yako,maana hoja unazotoa ni nyepesi mno na hazina tija kwa dunia ya sasa!wewe unasukumwa na ubaguzi na chuki kwa mafanikio waliyo nayo wahindi,kama ni wizi si kweli kua wahindi wote ni wezi,kwanza lazima uelewe mtu kama Sabodo ni tajiri toka enzi za uhuru,na huyu ni mmoja wa wazalendo wachache waliojitolea kumsaidia Mwalimu Nyerere kipindi hiko!!kama ni wizi Tanzania bila shaka watu weusi hasa viongozi wetu wa serikali ndio wanao ongoza kwa wizi nchi hii,tena mwingine ni wizi wa wazi na wa kibabe!kushindwa maisha kwetu tusitake kutupa visingizio kwa wahindi huko ni kufirisika kifikra,tunatakiwa tujilaumu kwa uzuzu wetu wenyewe!kama umebahatika kutembea nchi zilizoendelea kama Usa,uk,Netherlands,Norway etc utaona ni jinsi gani wahindi walivyojibidisha na wengi kuwa wafanyabiashara hasa wa maduka kama ilivyo hapa kwetu na hata wengine wengi kua ktk sekta muhimu kutokana na taaluma zao!kuwachukia na kuwalaumu si haki na wala haitakusaidia kujikwamua na maisha

Thank you! Hakika wewe ni Great thinker.
 
Data nyingi za wikipedia kwa nchi zetu masikini huwa zinakuwa outdated. Tafuta source nyingine but siyo hiyo!

Kwangu mimi najua wahindi ni corupt'ngoja tuone watakavyofanya au wanajiweka karibu na serikali ijayo
 
Watamfanya nini bilionea mwenyewe biashara zake kubwa ziko nje ya nchi

Mkuu biashara za Sabodo wewe uzifahamu nyie pokeeni tu hizo pesa lakini kaeni mkijua muhindi hatoi pesa zake bila maslahi.
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu

Akili za makalioni.
 
Mungu wangu!! Dr. Slaa naona anakukuna sana kila siku huwa unamuota ukilala.
 
Data nyingi za wikipedia kwa nchi zetu masikini huwa zinakuwa outdated. Tafuta source nyingine but siyo hiyo!

Basi nenda TRA au tafuta kwenye source za Magamba ndio zitakua sahihi,ila kinachoeleweka ni kua Sabodo ni msomi wa uchumi,na mfanyabiashara mkubwa wa kimataifa ktk nchi za Malawi,France,Kenya,etc!hautaki unaacha na unabaki na UNACHOSADIKI
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu

Kama mnajali afya kiasi hicho Mzee Sumari yuko wapi? Mwandosya je? Wewe je umepona lini? Pia inakuwaje unamsemea mtu kuwa anumwa wakati mwenyewe anaona yuko poa tu. We mama una matatizo. Hata hivyo lengo lako ni kututoa kwenye mood na twende off topic lakini utachemsha. Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssss......................Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.................. Mama mdogo Rejaoooooooooooooooo.....................ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................pwaaaaaaaaaaaaaaaaaa.........
 
Back
Top Bottom