Must see Movies

⁷/10 rates sio mbaya
Mbona naona review mzuri kidogo ni ya IMDb ambao wametoa 63% huku RT wakiwa wameipa 54%, ingawaje kila moja ina uzuri wake na ubaya wake!!

Anyway, itabidi niiangalie ili nii-judge ninavyoiona mimi kama mimi!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Naombeni majina ya move zenye unyanyasaji wa kiwango cha kidunia..

Yani ule unyanyasaji ambao hata shetani mwenyewe anatokwa machozi..

1- Girl In The Basement

2-

3-

4-

5-

Nitarudi kusema asante.............................
 
Jamani jamani..
 
Shumileta
Naombeni majina ya move zenye unyanyasaji wa kiwango cha kidunia..

Yani ule unyanyasaji ambao hata shetani mwenyewe anatokwa machozi..

1- Girl In The Basement

2-

3-

4-

5-

Nitarudi kusema asante.............................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom