Must see Movies

★Kitu kingine hicho GREYHOUND kikali ila sio kivile nicha Kivita★
IMG_20200712_002921_618~2.jpeg
 
Wazee nisaidieni movies za kibabe na zenye maudhui Kama movie hizi John wick 123,Jason Bourne, extraction na 12 strong...
 
★Kitu cha ki Zombie kutoka kwa watu wa macho madogo JAPAN (2015) nikikali kama Train to Busan kama mlishawahi iona inafaa kabisa kusukumia haka siku ka Nane Nane kuna huyo jamaa Zombie kipara ni hatari na robo★
images.jpeg
images%20(1).jpeg
 
Wakuu habarn,nmetumia telegrm kupakua movie nikafanikiwa ila asubuh naangalia znaonekana sijazipakua,znataka nipakue tena ...kuna maujanja yoyote ya kufanya nizipate maana nmekesha nikipakua..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Bggram ni mbadala wake humo unapakuwa na kuzi save kwwnye gallery
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom