Must see Movies

Must see Movies

Sio mchezo nilipigwa physics moja hatari sana alafu jamaa akarecommend movie nyingine ya INCEPTION na yenyew kutoka kwa NOLAN nikaenda nikaidownload kuangalia mala ya kwanza sikuelew nikaludi tena YouTube nilivyoenda kuangalia mala ya pili nikaielewa vizuri
hiyo nayo naikumbuka.. dah nitakuja nizishushe tena niangalie huwenda saiv ntatulia
 
Hivi john wick 4 ndo amekufa kweli haina mwendelezo, mbona zile za kwanza 123 anapigwa risasi nyingi mpaka mbavuni anatoa mwenyewe zingine anatolewa imekuwaje zile tatu mtu hoi 😅na kudead kadead
 
TENET itakuwa ni muvi nzuri sana ambayo unaweza kuitumia kujipima IQ
Hata mimi nataka nikaiangalie ili nipime uwezo wangu wa kuelewa movie
Sasa kama Actor mmojawapo wa hyo movie amesema maneno ayo we unafikiri kuna nini apo kinaendelea kama sio kurudishwa darasani kusoma Mathematics
JamiiForums1046448655.jpg
 
Hivi john wick 4 ndo amekufa kweli haina mwendelezo, mbona zile za kwanza 123 anapigwa risasi nyingi mpaka mbavuni anatoa mwenyewe zingine anatolewa imekuwaje zile tatu mtu hoi 😅na kudead kadead

Huu uongo wa waziwazi ndio huwa siukubali kwenye movie.😂
 
Apocalypto ni moja kati ya movies zilizochezwa vizuri sana, characters, mazingira na story vyote vilikuwa on point.
FB_IMG_1686668612644.jpg


Sidhani kama Africa itakuja kufikia hatua hii kwenye uwekezaji wa movies, angalia mitambo ambayo ilitumika kuchukua video, hapo tunazungumzia 2006 huko.
FB_IMG_1686667510350.jpg
 
Back
Top Bottom