Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,087
- 12,236
Action za kwenye hii movie ya Nobody sio exaggerated yaani sio fictitious Sana.nimecheki trailer nione hivyo vipondo, daaah nikajua mambo ya akina jai white , Scott Adkins ama iko uwais
kumbe ni vile, basi kwangu hamna vipondo humo.
Ni action ambazo zinaweza hata kutokea kwenye real life.
Lakini Iko Uwais action zake zina fiction ya kutosha na zimetiwa chumvi balaa ndio maana muvi zake ni ngumu kukuta anaharibu.
Hata hivyo hiyo Nobody kwa upande wangu iko poa, tena ukizingatia imetoka miaka hii ya 2020s miaka ambayo muvi za action nyingi ni za ovyo.
Nobody ni movie nzuri

. Kwa ufupi movie ya mzee haina stunts nyingi ambazo zinakosa uhalisia in real life. Mfano ukiangalia kama filamu za kichina, kuna stunts nyingi sana mpaka unahisi kama kamba au labda kwa sababu sisi sio martial artists!