Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,325
- 4,569
Mzee usifanye kosa angalia utanipa feedbackNmeshachukua season 1. Naitafutia siku ambayo niko bored nianze kuishusha
Mzee usifanye kosa angalia utanipa feedbackNmeshachukua season 1. Naitafutia siku ambayo niko bored nianze kuishusha
Pamoja sana mkuuMzee usifanye kosa angalia utanipa feedback
Bel Air mbona ipo fresh tumake apo kwanza ncheke
Et BelAir
Yani vitu kama Bel Air hapana yani sishawishikiBel Air mbona ipo fresh tu


Napendelea Thriller/Sci- Fi /Action Kumbe kupenda movies za genre zote kama mimi ni kipajiYani vitu kama Bel Air hapana yani sishawishikiNapendelea Thriller/Sci- Fi /Action
niliangalia Bel Air mpaka pale walipoenda kucheza basket ball wakapigana Risasi ikanikifu Esp: maongezi ya Kigangstar kwakweli hapana nikarusha mpaka epsode ya mwisho napo nikakuta utopolo
nmezoea kuangalia vitu vya kufikirisha kama Kingsmen




SanaKumbe kupenda movies za genre zote kama mimi ni kipaji
Nyinyi ambao mko bounded kwenye genre chache nawaonea huruma sana![]()



hapo kila movie unayoiona unatamani iwe kama movie fulani wapenzi wa movie wanaopenda genre tofauti wanainjoy sanasana, kwenye story peninsula iko vyemaa inafundisha sanana ndicho hicho hta nami nimeona
wanataka iendelee ilipoishia
ukweli ile peninsula ni kali sanaaaa upande wa storyline.
Hivi hii ni kali sana ,zipo season ngapiThe last of us
Hawezi elewa mkuuBel Air mbona ipo fresh tu
Nine (9) episodesHivi hii ni kali sana ,zipo season ngapi
Ni ya mwaka janaNine (9) episodes
Mwaka huu na bado inaendelea kutokaNi ya mwaka jana
Poa poa,Mwaka huu na bado inaendelea kutoka
Fanya hivyo
Unaweza kucheki trailer youtube kupata loloteFanya hivyo