Must see Movies

Must see Movies

Wakuu nipo chanel fulani ya telegram nimeona wametupia john wick 4 halafu mb 949 hii sio cam version kweli?
Title yake hawajasema ni quality ipi? Ila kama una wasiwasi nayo ni heri uache maana bando lenyewe lilivyokuwa expensive halafu unakuta ni cam vers.
 
Naomba mnitajie muvi kali ya kuchinjanachinjana, kuuana vibaya, kutoana makoromeo, kuvujishana ubongo, kupasuana makende, kukatana miguu, kutoboana macho, kumwagana utumbo na wanaonesha mauaji yote bila kuficha chochote, yaani damu ziwe zinatapakaa kila dakika ya muvi. Sijali iwe na story mbaya au nzuri, yoyote ile cha msingi mauaji yawe ya ovyo ovyo tu.
Muvi ya namna hii naihitaji sana, iwe kuanzia 2018 kuja juu. Nitawashukuru sana mkinitajia jina.
Spartacus
 
Back
Top Bottom