jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,806
Noo.. Sijaangalia. Sie watu wa mikoani wapi na wapi kupata hio wakati wa ku premier? Nilisikia kuwa Friday ndio ilioneshwa kwa mara ya kwanza nikatamani sana. Can you believe kuwa movies za Dark Knight sio mpenzi? Na wala hata moja sijawahi ona.
Skyfall watu wameanza kukata ticket in advance yaani inasubiriwa kwa hamu kubwa sana. Inatoka rasmi Ijumaa hii. Mtu atakayesubiri kukata ticket kwenye movie theatre hiyo Ijumaa au weekend hii itakula kwake
nawashukuru sana AshaDii, BAK na jouneGwalu kwa kuipigia chapuo hiyo skyfall, mmenifanya nikaiangalie.... kwa kweli sija-regret, ingawa nilitamani sana waonyeshe nani alikuwa behind kumlinda yule mhalifu serikalini.... au sijui palinipita hapo?Eh bado tu hujaiona SKYFALL ?
Mi nashukuru bongo imezinduliwa ijumaa, nikazama kuideku....!
Haya ngoja nisitie maneno mengi niseje nikakumalizia uhondo!
Ila naamini hautakuwa disappointed, hilo nina uhakika nalo sana.
Enhe tujikumbushie The Dark Knight Rises, uliicheki? Na je ulizichek zile za awali i mean The Dark Knight Begins na Dark Knight??
Filamu zetu nyingi ni za MAPENZi zinafundisho laikin sio kama WANGETENGENEZA ya FAMILY PLANNING Au, TANZANIA tulivyo na MATATIZO MENGI UFISADI; WIZI; UPORAJI wa MENO ya TEMBO; USAFIRISHAJI na WAHUSIKA ni HAO HAO VIONGOZi wa NCHi wanaokemea HAYO Wakitengeneza FILAMU kama hizo zenye UKWELI unaoukabili NCHI na TULIVYO wazuri kwenye FILAMU sidhani HOLLYWOOD hawata piga HODI; MOVIES za kwetu sio lazima ziwe za KIINGEREZA wao wanazitafsiri na wanaziangalia kwahiyo ---- TUSHIKILIE KISWAHILI... LAKINI tuongelee Magumu yanayotupata Kama VILE familia Imeondolewa kwenye ARDHI mmiliki kapewa na Jinsi Familia invyoteseka....
NI MENGI KWA KWELI...
Kwa Wazungu, filamu za Afrika zinazoshinda ni zile zinazoelezea matatizo yanayowapata waafrika...Disgusting!!!
Kwao, sisi Afrika ni shida, tabu, adha, kadhia, matatizo, dhahama, mapito na maneno yanayofananana na hayo. I dont buy that!!
Waafrika tunaishi kwa kupendana (nakubali tuna matatizo ya hapa na pale)...Lakini tunathaminiana sana....na zikitengenezwa filamu za Mshikamano, utakuta zinakamata mkia... To hell with their rating!!
tatizo filamu zetu huwa na bajeti ndogo (maprodyuza hawana mitaji).hivyo unakuta hata locations zinakuwa dar tu tena kwenye nyumba mbili tatu huko mbezi na wakienda girrafe imeshatoka. lakini kusema wasafiri mpaka ngorongoro, tunduma au kigoma hawawezi/they dont want to take the risk.watahitaji pesa ya kusafirisha crew nzima na sehemu zingine watahitaji majenereta kwa ajili ya camera.
zetu sio filamu bali ni maigizo.