masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,800
- 16,826
Nzuri hii niitafuteJamaa akili nyingi sana, anajua kucheza na akili za wanawake.
Nzuri hii niitafuteJamaa akili nyingi sana, anajua kucheza na akili za wanawake.
Ni nzuri sana.Nzuri hii niitafute
ROGUE AGENT View attachment 2392518
Ulikuwa wapiLast Seen Alive: Jamaa mke wake anatekwa wakiwa fuel station, anamtafuta mpaka anampata. Sio mbaya sana!View attachment 2402577
Jamaa alikuwa anajaza mafuta kwenye gari wakati huo mke wake ameingia ndani supermarket kununua mahitaji, wakati anatoka anakutana na mtu anaongea nae then anamuita kwenye gari yake amsaidie kitu. Na wakati wanaongea yule mume wake alikuwa amegeukia upande mwingine akawa haoni kinachoendelea then kuna gari kubwa lilikuja likapaki mbele yao, lilivyoondoka na mke wake akawa ametokomea na yule bwana haonekani tenaUlikuwa wapi
Hizi story za Human Trafficking naonaga mala zote kama zinaendana maana kuna kama movies 3 nilishawahi ziona zote Wanawake wanatekewa Gas stationsLast Seen Alive: Jamaa mke wake anatekwa wakiwa fuel station, anamtafuta mpaka anampata. Sio mbaya sana!View attachment 2402577
sijui hawa story writers hawalioni hili.
.Kabisa mkuu, hii ni low budget nayo. Nimei download kwasababu nilimuona tu jamaa yupo nika guess itakuwa movie nzuri sana ila ni ya kawaida tu.Hizi story za Human Trafficking naonaga mala zote kama zinaendana maana kuna kama movies 3 nilishawahi ziona zote Wanawake wanatekewa Gas stationssijui hawa story writers hawalioni hili.
Tuchukulie mfano kama hii movie angecheza mtu tofauti (asiye na umaarufu) na Gerrard Battler ingekuwa movie ya kawaida mnooo.
Mimi Trailer tu ilitosha kunionyesha Jamaa kazamia Mtumbwi wa Vibwengo,mpaka sasa hata sina wazo la kuitafutaKabisa mkuu, hii ni low budget nayo. Nimei download kwasababu nilimuona tu jamaa yupo nika guess itakuwa movie nzuri sana ila ni ya kawaida tu.
.Iangalie tu pale unapokuwa huna kazi ya kufanyaMimi Trailer tu ilitosha kunionyesha Jamaa kazamia Mtumbwi wa Vibwengo,mpaka sasa hata sina wazo la kuitafuta.
Sema Jamaa namkubali sana ila mpaka nimalizie viporo kuna movies 52 & series 8 zinanidaiIangalie tu pale unapokuwa huna kazi ya kufanya
.Movie 52?! Hebu share hata title hapa nianze kupakuwa zinazonifaaSema Jamaa namkubali sana ila mpaka nimalizie viporo kuna movies 52 & series 8 zinanidai.
Movie 52?! Hebu share hata title hapa nianze kupakuwa zinazonifaa
mKuu najua ushazitizama maana nilikuwepo naona baadhi mlikuwa mnazizungumzia humu,ukizingatia nitoka mwezi wa 4 niko Pori mtandao hauruhusu ku download labda kuperuzi tu ndio maana zipo nyingi.
najua huiwezi.Horror movies kwa kweli sizipendelei sana. Ila sio kwamba naogopamKuu najua ushazitizama maana nilikuwepo naona baadhi mlikuwa mnazizungumzia humu,ukizingatia nitoka mwezi wa 4 niko Pori mtandao hauruhusu ku download labda kuperuzi tu ndio maana zipo nyingi.
#HORROR my favorite Genrenajua huiwezi.

Kuna kawimbo kanachombeza hapo. Goodbye to you my trusted friend..Trailer ya JOHN WICK 4 imetoka hiyo battle ya John wick na donnie yen ni balaa