Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
I am (Muhammad SAW) simply commanded to worship the Lord of this town - He has made it a safe sanctuary - and He possesses all things. I am commanded to be a submitter".
Nimekuwekea katika mabano kama kweli unatafuta ukweli.
He he he..unaleta janja ya nyani kula indi bichi..Hayo maneno kwenye mabano umeyaweka wewe, na Koran haina mabano wala neno Mwamedi kwenye hiyo ayat. Labda nikusaidie zaidi kukupa tafasiri mbalimbali kwa ajili ya reference ya wenye kutaka kujua zaidi.
Naam, hizi ni baadhi tu ya tafseers kutoka wafasiri wa Koran.KhalifaI am simply commanded to worship the Lord of this town - He has made it a safe sanctuary - and He possesses all things. I am commanded to be a submitter.
Yusuf AliFor me, I have been commanded to serve the Lord of this city, Him Who has sanctified it and to Whom (belong) all things: and I am commanded to be of those who bow in Islam to God's Will,-
Pickthal(Say): I (Muhammad) am commanded only to serve the Lord of this land which He hath hallowed, and unto Whom all things belong. And I am commanded to be of those who surrender (unto Him),
ShakirI am commanded only that I should serve the Lord of this city, Who has made it sacred, and His are all things; and I am commanded that I should be of these who submit;
Sher AliSay, `I am commanded only to serve the Lord of this City which HE has made sacred, and to HIM belongs all things; and I am commanded to be of those who submit to God,"
Progressive Muslims""I have been ordered to serve the Lord of this town that He Has made restricted, and to Him are all things, and I have been ordered to be of those who surrender."
Ukitizama Khalifa, inasema exactly jinsi allah a.k.a Mwamedi anavyojichanganya. At least Khalifa ni mkweli ktk kutafsiri kwake.
Yusuf Alli naye ametupa kitu na box, eti allah anasema ameagizwa ..lolz
Pickthal yeye kama wewe ametafsiri kwa kuongeza maneno yake mwenyewe..Naona labda hajui mabalaa yatakayomkuta mja anayeongeza au kupunguza chumvi kwenye mboga ya Mwamedi, KKKoran.
Shakir, which is my best source, always mkweli..naye ametupa kitu na box.
Sher Alli, yeye kama wewe ameongeza neno say, na tena kuongezea kifungua na kifunga usemi, bila haya..lolz
Halafu finally kuna hawa wasanii, eti Progressive Muslims, hawa wakijua makosa walofanya wenzao kulingana na passage yenyewe kukosa maana, wakaamua kuweka kifungua na kifunga mabano..he hehe..
Haya lete hoja nyingine, maana hii umefeli kwa 100%.