Muslim University Of Morogoro kozi Mpya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muslim University Of Morogoro kozi Mpya.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kanda2, Jul 30, 2009.

 1. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Chuo kikuu cha Waislam kilichoko Morogoro kimetangaza kozi mbali mbali kwa mwaka 2009-2010 kama Kozi za Sheria-Law,Business Administration,Education,Mass Communication n.k.
  website ya chuo ni WWW.mum.ac,tz
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hahahaha, hivi hiki nacho ni chuo? hahaha, nadhani kinashika mkiani. bahati mbaya, watakao ingia ni wachache na ni wa dini moja. watakaofundisha pia ni wa dini moja kwasabbu jina tu linaogopesha. naombe pigeni kampeni misikitini ili watu waende kwasababu kitakuwa empty bila wanafunzi au kitafilisika. mtashindwa kukiendesha, na msivyotoaga na sadaka au kuchangia hivyo. duh.
   
 3. C

  Chuma JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ... .....kama Huu ndio mtazamo wako basi Tuna Kazi kuyafikia maendeleo Halisi ya Mtanzania....!!!
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,623
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  mi nasubiri kozi ya mahakama ya kadhi na ile ya oic sijuii zinaanza lini vile
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,623
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  mara ya mwisho kimeshika nafasi ya ngapi kitaifa?nataka kujiunga, maana hawa nao kwa madrasa badala ya madarasa........
   
 6. b

  bnhai JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,166
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Zipo namna za kupima ubora wa vyuo mbalimbali kuanzia idadi ya machapisho ya cho husika, ratio ya walimu kwa wanafunzi, vifaa vya kujifunzia na kufundishia na siku hizi pia wameongeza opinion za students juu ya potential for empoyment, quality etc.
  Sasa basi ukweli ni kwamba hakuna chuo cha nani wala nani hapo Tanzania. Nimepata ya bahati ya kuwepo kwenye vyuo binafsi na vya umma. Huko kwenye vyuo binafsi hakuna kitu kabisaaaa with exceptions in very if not some courses. Tusiwaonee waislam, lets be realistic. Wengi wa wanafunzi kwenye vyuo binafsi wanamatatizo kuanzia qualifications, structures za course, evaluation na monitoring. Kwenye hili bado safari ni ndefu
   
 7. S

  Shamu JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inaonesha wewe unajifanya umeenda shule bora; lakini, mbona mawazo yako bado madogo? Nenda shule ili uelimike zaidi.
   
 8. S

  Shamu JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi bongo kuna chuo namba moja!! hahahaha. Wanazuoni wenyewe waliotoka hizo shule "bora" ni Mafisadi!! duh bongo.
   
 9. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,850
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii ipelekwe kwenye jukwaa la kidini,
  Mbona hawa jamaa wanapenda sana mambo ya kidini? why je hicho chuo kinapokea waislam tu?

  Ifikie wakati muondokana na tabia za kibaguzi za waraabu kkumbukeni Uislam ni dini ya waarabu isitutenganishe sisi watanzania kama ni vyuo kwanini wasiite jina lolote kama vile taqwa sheikh fulani, nk mpaka wakiite cha kiislam so Nadhani hapo watakuwa wanafundisha deen tu! Naukienda mtu mwengine utajiskia vibaya ambaye haupendi mambo ya kidini, kwanza nadhani dada zetu watalazimishwa wavae mahijabu wakati hilo ni vazi la jangwani, any way let see.
   
 10. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Mheshimiwa Bwana Thinkpad

  Kwanza, Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) nayo ina ina neno Christian, je nalo ni kosa au ni kosa kuwa na Muslim University tu.

  Pili, wewe unaongelea udini wakati mwenyewe unayafanya yale yale ya kuona dini moja ni duni, inashangaza.
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Aug 7, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Wanataka kuisilimisha nchi ya Tanzania (Mahakama ya Kadhi & OIC) kiwe chuo?
   
 12. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,850
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Nawao pia hao KCMC niwanafiki kwanini waweke jina ambalo litawaogopesha waislam kwenda kutibiwa,
  Haifai kufanya hivyo katika vyombo vya public kama shule,maospital ila kama madrasa sawa , kama kanisa sawa.

  hii kitu ni mbaya mno inaleta tofauti fulani.
   
 13. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hiyo ndo tofauti iliyopo, nenda kcmc ukute waliolazwa pale ndo useme ni kwa christians au watu wote, tofauti na hiyo varsity ipo purely km kile chuo cha zanzibar!! bado wenzetu muslims hamjawa na ile hali ya kuweza kutumia kitu chenu pamoja na wa dini zingine,bila kuweka udini ulio wazi na dhahiri, mimi kama vyuo vyote nchini vikifungwa kikabaki hicho mlichohongwa na Nkapa cha walipakodi,basi mi ntaenda kwingine au bora kukosa elimi ya juu kumbe ni ya juu kwa kwenda chini!!
   
 14. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka zamani ukitaka kwenda kusoma shule ya Mission lazima ubadilishe dini kuwa mkristo au ufate sheria na taratibu za madhehebu ya shule hizo.
   
 15. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,837
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Naomba Jibu.
   
 16. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa jina nafikiri hakuna matatizo kwa sababu hicho chuo siyo cha umma.Lakini kwa ubora wa vyuo hapa nyumbani ni hakuna.wewe tembelea tovuti zao hata leo halafu uangalie machapisho (publications) za mwisho zilitoka lini.utakuta ni miaka mitano hadi 10 zilizopita.Machapisho ndo uhai wa chuo.Alafu angalia auditors wa journal mbali mbali za africa kama African journals of biotechnology, plant science,economy, etc. lectures wa bongo sijawaona.wengi wao africa magaribi, africa kusini, misri, kenya. Hapa kufanya research ni mpaka ufadhili. serikali mmm!
   
 17. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Point ndogo lakini ina maana kubwa.......
  Wengi wa mafisadi wamezaliwa chuo kimoja kikubwa na kikongwe hapa nchini,una maana hicho chuo kinazalisha mafisadi????
   
 18. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lakini mbona km wamechelewa???
  Tcu wameishatangaza majina ya wanafunzi wa academic year 2009/2010...ina maana hicho chuo hakiangaliwi na TCU? na swala la HESBL linaangaliwaje?
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Mimi mlokole pia na mimi nina ruhusa ya kusomea hapo?
  Ila nisikute faculty ya namna ya kutengeneza mabomu ya kujitoa mhanga!
   
 20. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  ThinkPad,

  hakika mchukia jua basi limemchwea. sasa vipi na wewe, wameku......... sema kweli.

  kama Uislamu ni dini ya waarabu , Vipi Ukristu ni dini ya nani?
   
Loading...