Muslim University Of Morogoro kozi Mpya.

ThinkPad,

hakika mchukia jua basi limemchwea. sasa vipi na wewe, wameku......... sema kweli.

kama Uislamu ni dini ya waarabu , Vipi Ukristu ni dini ya nani?


Nyinyi mnapenda ligi sana kwani ukweli mnauficha na moyoni mnajua sana kuwa, Kwa asili yetu sisi Babu zetu zama na zama walikuwa hawana dini za kigeni leo hii inakuja dini ya waarabu inatenganisha watanzania kama hauamini bakia hivyo hivyo.
 
Mimi mlokole pia na mimi nina ruhusa ya kusomea hapo?
Ila nisikute faculty ya namna ya kutengeneza mabomu ya kujitoa mhanga!

Kwani KCMC kuna faculty ya kufundisha USHOGA?
 
Nyinyi mnapenda ligi sana kwani ukweli mnauficha na moyoni mnajua sana kuwa, Kwa asili yetu sisi Babu zetu zama na zama walikuwa hawana dini za kigeni leo hii inakuja dini ya waarabu inatenganisha watanzania kama hauamini bakia hivyo hivyo.

ThinkPad,

Point kubwa sana hii ndugu yangu!!!

Hizi dini ni za kuletewa na sii za kwetu sisi! Angalia India, Japan, Korea have kept their religions!

Ni sisi Waafrika tu..tu tumeiga Imani za wengine ..tena kwa zaidi ya 100%! Yaani juzi mimi niliangalia Nigeria wanachinjana kwa ajili ya dini walioletewa..niliwashangaa sana!

Hivi hakuna mkakati wowote wa kuanzisha na kuenzi dini zetu za asili na za jadi??
 
hahahaha, hivi hiki nacho ni chuo? hahaha, nadhani kinashika mkiani. bahati mbaya, watakao ingia ni wachache na ni wa dini moja. watakaofundisha pia ni wa dini moja kwasabbu jina tu linaogopesha. naombe pigeni kampeni misikitini ili watu waende kwasababu kitakuwa empty bila wanafunzi au kitafilisika. mtashindwa kukiendesha, na msivyotoaga na sadaka au kuchangia hivyo. duh.

Mwana wa Mungu nilikuwa nategemea ungekuwa na mawazo yenye busara kumbe mgando. Unaelewa kwenye jamii kama ya Tanzania kwa sasa hamna raha kama watu wa iman tofauti wakawa kila mmoja wanapata huduma zao na sidhanikama kuna haja ya kuanza kusema nani yupoje na nani kafanya nn kwa kiwango gani

Mimi nafikirii issue ya hawa ndugu zetu waislam na hiki chuo tuwaachie wenyewe na sio kuanza kuwakashifu kwa maneno ya kejeli sidhani kama tutafika wanasema ya ngoswe mwachie ngoswe sisi tugange na ya kwetu
 
Nawao pia hao KCMC niwanafiki kwanini waweke jina ambalo litawaogopesha waislam kwenda kutibiwa,
Haifai kufanya hivyo katika vyombo vya public kama shule,maospital ila kama madrasa sawa , kama kanisa sawa.

hii kitu ni mbaya mno inaleta tofauti fulani.
kwasababu ile hospitali wamejenga wao kwa pesa zao. ninyi kile chuo cha morogoro mmepewa na selikali bure. hamna uwezo kujenga chenu. hamna mwamko wa elimu.
 
Back
Top Bottom