Musiba ashangaa kukatwa CCM: 2020 nilikuwa nafasi ya pili kura za maoni, 2025 nimeonekana sifai kabisa?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,802
Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake pamoja na majina ya watu wengine

Musiba amesema yeye amechukua fomu kwa mara ya nne mwaka huu na mwaka 2020 alishika nafasi ya pili kwenye kura za maoni kati ya watia nia 42, lakini cha ajabu mwaka huu ameonekana hata hafai kugombea kura za maoni, na waliopata kura 0 katika jimbo la mwibara 2020 wamepitishwa huku yeye akiachwa

Musiba ameongeza kusema utaratibu huu sio mzuri kwani ni kuwachagulia wanachi wawakilishi wao, maana watu wanaopitishwa na chama kuna uwezekano hakuna anayekubalika na huku waliokatwa wakawa ndio wanakubalika
Hata hivyo amemeliza kwa kusema wana CCM tuunge mkono maamuzi ya viongozi

Msikilize zaidi ukipenda

View: https://youtu.be/0TbXx0QHvpw?si=J33KRkYwvbQyoFlF
 
Musiba ameongeza kusema utaratibu huu sio mzuri kwani ni kuwachagulia wanachi wawakilishi wao,

Kaa kwa kutulia unywe dawa.
 
Kwani yeye hakujua utaratibu wa chama chake....??
 
Sio kusema hafai na pia asichukulie personal, wanaotaka wapewe Fursa ni wengi na pia ni muhimu kuingiza vijana na damu mpya kwenye mfumo
 
Asingepitishwa wakati anadaiwa fidia na familia ya Membe, ambaye alikuwa mshirika wa washika rungu JK na SSH
 
aliwatukana sana watu huyu na kuwajaza hofu pia.... embu fikiria mtu anasema wanataka kumuua au kumpindua raisi lakini anaachwa tu atambe
alifikiri magufuli angeishi milele mshenzi wa tabia huyu. mijitu kama musiba inatakiwa iwe jela muda huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom