Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Mmmh hata kama wanasema penda kusifia chako!, dar inaipiku Nairobi? sijui! Jiji ambalo asilimia kubwa ni unplanned na linaongoza kwa uchafu Tz japo kwa sasa linang'arishwa kwasababu ya ujio wa Obama, sijui tusubiri tuone kama usafi huo utaendelea even after Mkubwa kuondoka.
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Mwaego subiri usiondoke lakini vua kofia lako.
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Ki uchumi? Elfu moja ya Kenya, ni Tsh. Ngapi?
safi sana mseveni, ex UDSM student
Kamshauri nabii wenu Lema hayo maneno umesikia wewe kauzu.
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Source???????Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Bulesi aliyekuwa anafundisha Chuo Cha Ushirika ni Mrs Meghji au Mr Meghji yaani mumewe Mama Zakia ambaye hivi sasa ni marehemu?Museveni hana shida ya kukaa DSM kwani yuko nyumbani; atajikumbusha jinsi alivyokuwa anakunywa kahawa pale hoteli ya Agip!! Pia atapata nafasi ya kukutana na walimu wenzie wakina Zakia Meghji waliuofundisha nae pale Moshi Co- operative college.
Mwaego subiri usiondoke lakini vua kofia lako.
Bulesi aliyekuwa anafundisha Chuo Cha Ushirika ni Mrs Meghji au Mr Meghji yaani mumewe Mama Zakia ambaye hivi sasa ni marehemu?
Ki uchumi? Elfu moja ya Kenya, ni Tsh. Ngapi?