Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Mtoto umelainika nyama ya kiuno kulikoni?! Au seminari.
atamwambia nini obama huyo babu,obama hana muda wa kukaa na kusikiliza stori za vijiweni. Kwani wewe hujui kuwa Babu ndio mashine ya kutunga uongo.Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Kaguta usiondoke ,wengine wagoma subiri tule woteMu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
watu makini kuwa madarakani? akina nani? hao wezi, wauaji, mafisadi wakubwa???..unajiadangnanya sana, tz kuipikua ke?? jaribu tena baadaye baada ya watu makini kuwa madarakani
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
Ki uchumi? Elfu moja ya Kenya, ni Tsh. Ngapi?
Ndugu pesa iliyopo Kenya Sio ya Wakenya, ni ya Wakoloni, kumbukeni Kenya Sio Nchi huru mpaka sasa, Mzee Kenyatta alisainishwa kwa vitisho Uhuru wa Mkataba ama Jeshi la Uingereza lingevamia na kutawala kwa nguvu, alichosaini ni Kuwaacha Waingereza na Mali zao, mashamba na kila walichokuwanacho kiendelee Kuwa chao. Kwa hiyo siku wakiamua kurudisha pesa yao England Kenya ni Zimbabwe nyingine.
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Opportunist tu huyoKwenye ule mkutano wao uliofanyika Uganda, Museveni aliulizwa swali mbona mmefanya mkutano bila wajumbe wengine wa EAC mfano Tanzania au kwa sababu Obama anaenda Tanzania, Museveni alichojibu ni kwamba Obama hakuwa ajenda ya mkutano wetu kumbe jamaa alikuwa anakula timing tu ili aje kuonana naye bongo.
Hahahaha...
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.