Museven hii kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Museven hii kiboko

Discussion in 'International Forum' started by Mambo Jambo, Oct 16, 2009.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hakuna Jua wala mvua lakini jamaa anaonesha tofauti yake yeye na binadamu wengine.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hilo linaitwa tege, where is the fiery revolutionary?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahahahahaaaaa.....this guy is just as bad as Iddi Amin!
   
 4. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Halafu tunalalamika umaskini, huyo mlinzi wakati huo angekuwa anafanya shughuli nyingine ya ujenzi wa nchi badala ya kubeba mwavuli wakati hakuna mvua wala jua, na jamaa yuko chini ya kivuli cha mti.
   
 5. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Worse than Iddi Amin!
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndo type ya viongozi wetu wa kiafrika hawa. Lol!
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Oyaa! kuna kunguru bana.,......watamnyea mkulu bila kuweka mwavuli.
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  ...na tumbili juu ya mti. Mmesahau yaliyompata Banda wa Zambia?
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Heheh hii kali lol aweke na wakumpepea hehhe!
   
 10. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Afrika mambo tambalale mwenye wivu ajinyonge.
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  miafrika bwana ndivyo ilivyo haya huu sio udickteta? Hiyo ndiyo demokrasi ya afrika hahahahahahahahah
   
 12. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Alikuwa anaogopa kunyewa na ndege. Yuko kivulini, unafikiri alikuwa anahofia nini? .......MAVI YA NDEGE.
   
 13. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukuda vile....!! yaani a feel aibu kabisaa....
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...tahadhari muhimu bana, unaweza 'pigwa konzi' na mungu. Au ushasahau Prez wa Zambia alivyoumbuka kukaa chini ya miti..?.

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=3T-1r18pqZY[/ame]​
   
 15. s

  shabanimzungu Senior Member

  #15
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  May be to stop the monkey piss from above the tree!!!!!
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Viongozi wa africa wanapenda sana kujitweza, japo nchi zao maskini. Viongozi wa dunia ya kwanza wapo simple tu, hawana hata mambo makubwa ya kujiona kama hayo ya Mu7. Mie huwa nawaona ni malimbukeni viongozi wa jinsi hii ya Mu7.
   
 17. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  They live like kings but die like slaves.
   
 18. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hapo ndo panakuwa pagumu kwa ma presid wetu wa kiswahili kuachia ngazi...akifikia mwisho wa muda wake atarekebisha tu Katiba au kuingia kwenye jeshi la waasi ili aendelee kula "masengweji" vichakani !!!!, kwa hali hii mwavuli atapata wapi mtaani ????.......Hawa ndo viongozi wetu wanao simama majukwani na kuhamasisha "USAWA" na "UPENDO", shit, unafiki mtupu!......


  Hata kama kuna mvua, hako kajamaa kalikoshika mwamvuli hakaloi, au sio kabinadamu hako au ndo mafungu ya kufanya "siteti hausi" yanakamaliza hisia za kibinadamu, hata hakasikii maumivu ambayo Mukubwa anayakwepa,duh???.Aka ka nidhamu ka "steti housi" hakana tofauti kabisha na kale ka utumwa enzi za kina sultan Sayyid Barghash bin Said Al-Busaid kule Mkunazini ina kila aina ya kukiuka haki za binadamu!......Loh!!!.
   
 19. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kweli bwana sio kunguru tu, bali hata nyani ambao wanasaidia kuexpress hasira za wananchi kwa viongozi wao, unakumbuka nyani alivyofanya mambo ikulu ya Zambia???
   
 20. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  rais mtarajiwa wa the East Africa Federation..
   
Loading...