Museven atetea Sera ya Baraza lake kubwa la Mawaziri

Is another Character, Nothing to copy from that crook!! He think he have brought by God for Ruling Uganda! Another Mugabe, Shame for African leaders
 
Acha aongee kwa sababu mdomo halipii, hata ingekuwa tunalipia yeye asingelipa, maana hajui jinsi watu wanavyopata shida yeye kila kukicha kwake ni sherehe,ila wawe makini wasicheze na vilio vya wengi.Maana ipo siku watalia na kujutia mabaya yao wanayotutendea watu wa Mungu
 
Nimemsikia bbc asubuhi, anaongea pumba tu, eti anasema marekani wanaweza kuwa na mawaziri 12 kwa wizara moja, kwa mfano mawaziri wa nchi za nje, yuko wa mashariki ya mbali, wa afrika sijui wa wapi na wapi. eti anasema na hakuna tatizo lolote, sasa huyu ana akili kweli anataka kujilinganisha na marekani, kwa hiyo na yeye anataka kuwa na waziri wa mambo ya nje kwa kila nchi, halafu anataka waganda wamuamini, hivi hawa viongozi wa afrika wana matatizo gani, mbon huwa wanatoa kauli za kutia kinyaa kiasi hicho?
 
Ni walewale tu hana cha maana kabisa anachoweza kushauri sana anajiona Kama Mungu na atazidi kupotea
 
Kuwa na baraza dogo sio tija, kinachotakiwa ni ufanisi wa serikali . Na hilo ndilo amesema Museveni. Amesema tizama amerika , mawaziri wa mambo ya nje wapo zaidi ya 7, Waziri wa mambo ya nchi za nje Africa, Asia nk. Ni funzo kwa CDM kuwa sera zao hazitekelezeki. Na wakati wa uchaguzi , Dr Besigye alijifanya kuiga sera za cdm za bure bure, wananchi wakamwaga kama walivyo fanya kwa Slaa

MKUU, LAKINI MBONA HAWAJAJIBU TUHUMA KUWA WAMEIBA KURA NA ZIKAWEKWA UKURASA WA MBELE NA GAZETI LA MWANANCHI? Hizi ni shutuma kubwa sana huwezi kuzipuuza tu kama ingekuwwa ni uwongo. NI UKWELI MTUPU.
Hivi wajua kuwa tume ya uchaguzi wameshindwa kuweka kura za urais ktk website yao kutokana na kuogopa kuongeza ushahidi kwa CDM watakapolinganisha matokeo waliyonayo ambayo hayaendani na ukweli?
Binfasi kama mkiti wa CHADEMA jimbo la ubungo ninaweza kukuhakikishia kuwa kilichotangazwa na tume ya uchaguzi sicho tulicho nacho sisi kutoka kwa mawakala wetu waliokuwepo vituo vyote. Walichakachua. Kwamba CCM waliiba kura si mzaha, ni kweli. Niliwashangaa tu kwamba walifikiri hata kuiba kura za majimbo kama ubungo na Hai kwa mh Mbowe.
Kwa hiyo, Slaa hajamwagwa alichakachuliwa. Hasira za kuchakachuliwa ndo inayoendelea kuonekana Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa wakati wa Maandamano. Kama huamini waambie CCM wakaandamane kanda ya ziwa au nyanda za juu kusini kama hawajaaibika.
 
Fikra MGANDO na visheni UTANDO!

Nilikuwa sina habari kumbe?
 
M7 kaishiwa hana tena moral authority ya kuwatawala Waganda ndo maana anatapatapa.
 
MSEVENI NDIE NANI HAPA BONGO? nchini kwake hadi mkewe ni waziri so mnategemea aseme nini?Aende zake, kwanza nae ni mmoja wa madikteta waliobaki hapa duniani, mwisho wake haupo mbali!
 
kwake kunawaka moto,maaandamano makubwa yamefanyika jana kuipinga sera na uongozi wke kua unanuka rushwa sas iweje aingilie ya wenzie?
 
asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:

"...unaweza kuwa na baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".mwisho wa kunukuu.

Wana-cdm wenzangu munasemaje?

Source: Bbc nairobi

mseven yuko sawa kabisa ,chadema hawana issue ya kitaifa tatizo lao wanakwenda kwa upeop.
 
lakini kuna mtu ametoa hoja kuwa unaweza kuwa na baraza kubwa kama la msanii wetu Jakaya na nchi ikawa masikini, tena bila umeme.

unasemaje hapo?
 
MKUU, LAKINI MBONA HAWAJAJIBU TUHUMA KUWA WAMEIBA KURA NA ZIKAWEKWA UKURASA WA MBELE NA GAZETI LA MWANANCHI? Hizi ni shutuma kubwa sana huwezi kuzipuuza tu kama ingekuwwa ni uwongo. NI UKWELI MTUPU.
Hivi wajua kuwa tume ya uchaguzi wameshindwa kuweka kura za urais ktk website yao kutokana na kuogopa kuongeza ushahidi kwa CDM watakapolinganisha matokeo waliyonayo ambayo hayaendani na ukweli?
Binfasi kama mkiti wa CHADEMA jimbo la ubungo ninaweza kukuhakikishia kuwa kilichotangazwa na tume ya uchaguzi sicho tulicho nacho sisi kutoka kwa mawakala wetu waliokuwepo vituo vyote. Walichakachua. Kwamba CCM waliiba kura si mzaha, ni kweli. Niliwashangaa tu kwamba walifikiri hata kuiba kura za majimbo kama ubungo na Hai kwa mh Mbowe.
Kwa hiyo, Slaa hajamwagwa alichakachuliwa. Hasira za kuchakachuliwa ndo inayoendelea kuonekana Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa wakati wa Maandamano. Kama huamini waambie CCM wakaandamane kanda ya ziwa au nyanda za juu kusini kama hawajaaibika.

1. Kura zinaibwaje? hebu tuelezee
2. Wanaotakiwa kujibu ni tume , je mliisha peleka hoja zenu kwa tume ? tume haifanyi kazi kupitia magazeti , hapo ndipo nyie viongozi wa cdm nakosa elimu ya uongozi
3. Hizo karatasi za mawakala wenu tutahakikishaje kama na nyie hamja zichakachua? kwani cdm ni mabingwa wa uongo na uzandiki
4.Kama CDM mpaka leo hii hamna uhakika mnacho kidai kwani takwimu zenu zinatofautiana sana
5. Slaa hakuchakachuliwa hayo ni maneno ya kujifariji kushindwa mkuu, kubalini jipangeni 2015
6. Hebu nipe statistics huko nyanda za juu na kanda ya ziwa chadema ina wabunge wangapi na ccm wangapi. Hapo ndipo utakapo ona kukubalika kwa mtu
 
Ktk uchaguzi mkuu (UG) wa mwaka 1996 Mu7 huyu huyu alisema "quarter pin ya baiskeli huwekwa na nyundo na kuitoa pia nyundo hutumika" akimaanisha kuwa aliingia madarakani kwa mtutu na ataondolewa kwa mtutu.
 
Na unaweza kuwa na mawaziri 70 na umeme usiwake pia ni kazi bure.....bora mmoja bila umeme kuliko 70 bila umeme....

Time to rest Mr. Museven

huo ni ukweli wa mia kwa mia ila ukiwambia wanasiasa kama kikwete, Mbowe na slaa watasema katika siasa hiyo haipo bora umeme usiwake lakini uwe na mawaziri 70 na kila mmoja atembelee gari la tshs milioni 250+
Kweli wanasiasa wanaturudisha nyuma kimaendeleo
 
1. Kura zinaibwaje? hebu tuelezee
2. Wanaotakiwa kujibu ni tume , je mliisha peleka hoja zenu kwa tume ? tume haifanyi kazi kupitia magazeti , hapo ndipo nyie viongozi wa cdm nakosa elimu ya uongozi
3. Hizo karatasi za mawakala wenu tutahakikishaje kama na nyie hamja zichakachua? kwani cdm ni mabingwa wa uongo na uzandiki
4.Kama CDM mpaka leo hii hamna uhakika mnacho kidai kwani takwimu zenu zinatofautiana sana
5. Slaa hakuchakachuliwa hayo ni maneno ya kujifariji kushindwa mkuu, kubalini jipangeni 2015
6. Hebu nipe statistics huko nyanda za juu na kanda ya ziwa chadema ina wabunge wangapi na ccm wangapi. Hapo ndipo utakapo ona kukubalika kwa mtu

ndugu yangu uko makini kweli na haya unayozungumza au ni ushabiki unao
 
Back
Top Bottom