Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Safari ya Mudavadi kuelekea Ikulu ya Kenya sasa imeshika kasi baada ya kujitoa ODM sasa hivi na kujiunga na chama cha UDM. Mudavadi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na Raila juu ya utaratibu wa kumpata mgombea uraisi wa ODM......Kufuatia hatua hii ya Mudavadi pia kajivua nafasi ya Uwaziri wa serkali za mitaa lakini anabaki kuwa Naibu Waziri Mkuu nafasi ambayo Raila hana ubavu wa kumng'oa bila ya kuvunja makubaliano yake na Kibaki kwa maana ya vyama vya PNU na ODM ambayo kwa pamoja ndivyo vinaunda serikali ya mseto.............
SOURCE: CITIZEN TV
MY TAKE:
Utabiri wangu ni kuwa kama Kenyatta na Rutto watakwamishwa na ICC..........Mudavadi is the most likely next president of Kenya and not Raila.
Anajitafutia kifo cha kisiasa. Ni vigumu sana kupambana na raila hivi sasa
Raila hahitji ubavu kumtoa Musalia......kwa vile keshajitoa mwenyewe
Raila ndiye rais ajae Kenya
Hivi Mudavadi ni Mkikuyu?
..Kinyume chake Raila ndio ameshakwisha hivyo, uraisi atausikilizia tu kama Baba yake,Jaramogi, alivyousikilizia bombani...
...katika kipindi hiki kifupi baada ya uchaguzi wa 2007, ameshakosana na Pentagon members,Ruto-Rift Valley, Balala-Cost, na Mudavadi-Western, na bado Charity Ngilu-Eastern nae hawaivi tena...
Sio Mkikuyu ni mtu wa West. The same as Raila, now they will fight to win Central where Ruto and Kenyatta have their Stronghold. If you win central it means you win Kenya.
Hivi Mudavadi ni Mkikuyu?
Mudavadi kavutwa na lile kundi la Uhuru/Ruto/Kalonzo. Na kwa hali ya kisiasa kenya inayoongozwa na ukabila natumai mudavadi huenda akaungwa mkono pia hata na Raisi Kibaki kuhakikisha tuu TINGA haukwai uraisi wa Kenya.
Yetu macho maana wale washtakiwa wa ICC wako tayari kupambana vilivyo kuhakisha Raila hapati uraisi.
Ni Mluya