Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 3,971
- 4,479
Ukisoma tena hapo juu utaona kwamba jamaa alianza kufuatilia mtandaoni ndo akakuta aina ya Processor inayoingiliana na iliyopoMkuu kinachofanywa ubadili processor Fulani Ni motherboard, kwenye motherboard kunakuwa chipset husika ambayo inakuwa na support ya hizo processor.
Mfano hizi Ni chipset za karibuni za Intel na picha zake
Lga 1151
Hii inakubali cpu za Skylake na kabylake (gen ya 6 na 7)
Lga 1150
Hii inakubali haswell na broadwell (gen ya 4 na 5)
Lga 1155
Hii ilikuwa Ni Sandy bridge na ivy bridge (gen ya 2 na 3)
Ukiangalia kwa makini hizo picha hizo socket na pini hazifanani hivyo hata processor haziingiliani, huwezi ukatoa amd ama Intel nyengine ukachomeka tu socket yoyote inabidi ujue kwanza motherboard Ina support processor zipi na kununua processor inayokubali.
Mkuu nilipinga Intel kwenda Amd process, Ila Kama Ni processor za same generation inawezekana kabisa.Ukisoma tena hapo juu utaona kwamba jamaa alianza kufuatilia mtandaoni ndo akakuta aina ya Processor inayoingiliana na iliyopo
Sisi wenyewe kwenye Group tulimwambia haitowezekana ila jamaa alifanikiwa ku update
Nakuinbox namba yake umuulize vizuri
Gen ya 3 mkuu, kuanzia gen ya 2 mpaka ya Saba hizi CPU hazina utofauti Sana Hapo unatafuta tu gpu low end unakuwa na machine nzuri.Intel(R) Core(TM) i5-3470 CPU @3.20GHz 3.20GHz hii imekaaje chief
nimeiona instagram hata location tu imenitisha. kuna utapeli hapo. labda uipandie boti kwenda kuthibisha mwenyewe.Bei ni 460,000 Tshs
Product name (BRAND NEW)
HP Pavilion x360 - 14-ba078tx
Microprocessor
IntelCorei7-7500U (2.7 GHz base frequency, up to 3.5 GHz with IntelTurbo Boost Technology, 4 MB cache, 2 cores)
Flash cache
8 GB
Memory, standard
8 GB DDR4-2133 SDRAM (1 x 8 GB)
Video graphics
NVIDIAGeForce940MX (4 GB DDR3 dedicated)
Hard drive
2TB 5400 rpm SATA SSHD
Display
35.56 cm(14) diagonal FHD IPS WLED-backlit multitouch-enabled edge-to-edge glass (1920 x 1080)
Keyboard
Full-size island-style backlit keyboard
Pointing device
HP Imagepad with multi-touch gesture support
Wireless connectivity
802.11a/b/g/n/ac (2x2) Wi-Fiand Bluetooth4.2 combo
Expansion slots
1 multi-format SD media card reader
External ports
1 HDMI; 1 headphone/microphone combo; 1 USB 3.1 Type-CGen 1 (Data up to 5 Gb/s); 2 USB 3.1 Gen 1 (Data transfer only)
Dimensions (W x D x H)
33.48 x 22.69 x 1.99 cm
Weight
Starting at 1.63 kg
Power supply type
65 W EM AC power adapter
Battery type
3-cell, 41 Wh Li-ion
Webcam
HP Wide Vision HD Camera with integrated dual array digital microphone
Audio features
Dual speakers; B&O PLAY; HP Audio Boost
#warrant 1year
Mkuu kuna mtu kaniuliza kama hiyo itamfaa au lah!!
Nb: anapenda kucheza games.
Yap, upo sahihi, nimemuuliza tena kasema aliupgrade kutoka intel cerelon kwenda intel core i3Mkuu nilipinga Intel kwenda Amd process, Ila Kama Ni processor za same generation inawezekana kabisa.
Ryzen 5 Ni machine nzuri Sana kubalance baina perfomance na Bei. Zinafaa Sana Huku kwetu.bei mil 1.3
View attachment 1205244
HP Notebook - 15-db1003dx
Microprocessor
AMD Ryzen™ 5 3500U with Radeon™ Vega 8 Graphics (2.1 GHz base clock, up to 3.7 GHz max boost clock, 6 MB cache, 4 cores)
Chipset
AMD Integrated SoC
Memory, standard
8 GB DDR4-2400 SDRAM (1 x 8 GB)
Video graphics
AMD Radeon™ Vega 8 Graphics
Integrated
Hard drive
1TB
Optical drive
DVD-Writer
Display
15.6" diagonal HD SVA BrightView micro-edge WLED-backlit touch screen (1366 x 768)
Wireless connectivity
Realtek RTL8723DE 802.11b/g/n (1x1) and Bluetooth® 4.2 combo
Network interface
Integrated 10/100/1000 GbE LAN
Expansion slots
1 multi-format SD media card reader
External ports
2 USB 3.1 Gen 1 Type-A (Data Transfer Only); 1 USB 2.0 Type-A (Data Transfer Only); 1 RJ-45; 1 AC smart pin; 1 HDMI; 1 headphone/microphone combo
Minimum dimensions (W x D x H)
37.6 x 24.6 x 2.25 cm
Power supply type
45 W AC power adapter
Battery type
3-cell, 41 Wh Li-ion
Webcam
HP TrueVision HD Camera with integrated digital microphone
Audio features
Dual speakers
Hiyo vega 8 ina gb ngapi hivi video ramRyzen 5 Ni machine nzuri Sana kubalance baina perfomance na Bei. Zinafaa Sana Huku kwetu.
Nafkiri 1GB sema GB kwenye gpu hazina maana yoyote bila kujua speed kwanza, Iris pro Zina Hadi 128MB vram Ila zinakimbiza balaa, sababu zinatumia storage zenye bandwidth kubwa Sana zinaitwa edram ambayo inakwenda Hadi 100GB per second.Hiyo vega 8 ina gb ngapi hivi video ram
Nimeicheki Tena Ni shared, inatumia system ram, hivyo ukiwa na ram zenye speed zaidi nayo inakuwa na nguvu zaidi, pia ikiwa dual Chanell nayo nguvu inaongezeka.Hiyo vega 8 ina gb ngapi hivi video ram
Inasaport kweli 4kNafkiri 1GB sema GB kwenye gpu hazina maana yoyote bila kujua speed kwanza, Iris pro Zina Hadi 128MB vram Ila zinakimbiza balaa, sababu zinatumia storage zenye bandwidth kubwa Sana zinaitwa edram ambayo inakwenda Hadi 100GB per second.
Unakuta GPU Ina vram 8GB lakini Ni ddr3 ram zake usitegemee perfomance yoyote ya maana.
Sema inacheza games zote bila wasiwasi uki sacrifice quality.
Ndio mkuu kununua 8GB nyengine kunaongeza perfomance, ama unauza hiyo na kununua 4GB mbili.Inasaport kweli 4k
GB DDR4-2400 SDRAM (1 x 8 GB)
So kama unachukua hiyo inabidi ram uongeze ifikia angalau gb 16?
Hiyo ina 8gb so ni kuongeza iwe na 16 gb maana slot imetumika moja.Ndio mkuu kununua 8GB nyengine kunaongeza perfomance, ama unauza hiyo na kununua 4GB mbili.
Na 4K inaplay vizuri hizi compressed file Kama za YouTube, Netflix etc
Assume hio Ni version ya 25W, na una ram nzuri na dual Chanell Basi Ni equivalent ya nvidia 150mx.Hiyo ina 8gb so ni kuongeza iwe na 16 gb maana slot imetumika moja.
Hii ryzen 5 inakimbizana na i series gen ya ngapi kwenye intel?
Na hii vega 8 inakimbizana na gtx ipi kwenye invidia?
Kwani 150mx na 940mx 4gb ipi ina uwezo zaidi?Assume hio Ni version ya 25W, na una ram nzuri na dual Chanell Basi Ni equivalent ya nvidia 150mx.
Kwenye cpu Ni equivalent ya i5 latest gen 8 ama 9 zenye core 4 na thread 8.
I5 yoyote ya zamani ya gen ya 7 kushuka inapitwa na hio ryzen.
Uyoo co anaejiita big sale znz insta??nimeiona instagram hata location tu imenitisha. kuna utapeli hapo. labda uipandie boti kwenda kuthibisha mwenyewe.
eti yuko chake chakezanzibar. maana mwisho wa siku atataka umtumie ela ili akutumie.
Nimeiona sponsored insta halafu comments katurn off. Hapo ndio uone utapeli uliopo sasa.Uyoo co anaejiita big sale znz insta??
PC heavy jamaa anaziuza laki nne laki tanoNimeiona sponsored insta halafu comments katurn off. Hapo ndio uone utapeli uliopo sasa.
Nawapata bei zao ni sahihi kutokana na uwezo wa pc husika naona.PC heavy jamaa anaziuza laki nne laki tano
Hawa jamaa wanaitwa computer beipoa unawapata mkuu?? Wako insta
Assume hio Ni version ya 25W, na una ram nzuri na dual Chanell Basi Ni equivalent ya nvidia 150mx.
Kwenye cpu Ni equivalent ya i5 latest gen 8 ama 9 zenye core 4 na thread 8.
I5 yoyote ya zamani ya gen ya 7 kushuka inapitwa na hio ryzen.