Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nimefanikiwa kuunganisha ile pc leo.

Inafanya kazi vizuri tu. Shida nikifungua game. Feni zinavuma mno.
Feni ya maana? Nilikua na machine Nika upgrade cpu pentium kwenda i7 Feni likawa linazidiwa nguvu ikabidi ni badili.

Kujua zaidi weka program ya kuangalizia joto. Kama cpu inapata sana joto ina maana feni limezidiwa, kama inavuma tu wakati joto ni dogo ina maana ni settings zako, nenda kwenye bios za motherboard cheza na settings za feni.
 
Nikifungua game ndio inavuma. Fane nilichukua kama ile ile ambayo nilikuwa natumia kwenye pc ile ndogo. Tofauti ni ndogo sana.

Nahisi labda shida yaweza kuwa ni thermal paste. Maana sikuongeza nyingine.
 
Ina heatsink kama hivi na feni kwa juu?
images-1.jpeg

Troublemaker
 
HP ProBook 450 G6 Intel Core i3-8th Gen

  • Screen Size – 15.6 Inch screen
  • Processor – Intel Core i3-8th Generation
  • RAM – 8GB DDR4
  • Storage – 128 GB + 500GB HDD
  • Operating System – DOS
Hp Ryzen 3(8cpus)

  • Ram 8gb
  • Storage ssd256gb
  • Screen size 13ich
  • Color ni light gold
Kwa budget ya laki 600k ip ina value kati ya hizo mbili.

Chief ushauri wako.
 
Hio i3 gen ya 8 kwa hio bei haina issue, ukiongeza kidogo hio budget unapata i3 gen ya 12 ambayo ni much better.

Hio Ryzen sijajua ni ipi, unaweza uka ulizia specific model? Mfano ryzen 5300U.
 
Hii kali sana mkuu, kwa hio bei chukua bila wasiwasi.

Hii nzuri kuliko i3/i5/i7 gen ya 10 kushuka zote. Pia Ryzen zinakuja na gpu ndani ambazo ni decent, hii gpu inajitahidi kiasi fulani.

Angalia tu mambo mengine upande wako, hali ya machine, ukaaji chaji etc.
Asante sana.
 
Back
Top Bottom