Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ndio mkuu italeta utofauti. Ila kuna mambo kwanza inabidi uchunguze.

1. Kuna laptop zina slot 2 za ram ila zinarun kwenye single chanell hivyo hata uweke ram mbili haitasaidia, ni vyema uangalie specs zako kujua.

2. Angalia gpu usage unapocheza game, run game zitozito kama una pad ya Xbox bonyeza ile button ya katikati ama kuna shortcut fulani ctrl +G kama kumbukumbu zipo vizuri, (windows 10), kama gpu inatumika chini ya asilimia 100 inamaana kuna bottleneck mahala fulani ambayo likely ni memory. Kuna case mbalimbali, ila dual chanell inaweza boost asilimia 10 mpaka 70 kutegemea na game.

3. Pia hizi ryzen unaweza run kwa 15w na 25w mode, kama laptop yako ni kubwa pengine ni 25w angalia kwenye bios vitu kama hivi utavikuta na ram speed pia, kwa 25w utapata perfomance kubwa na ukaaji chaji mdogo.

Kuhusu ram wale jamaa wa capricon mjini morogoro road ni kama Amazon vile kila kitu essential wanacho ila bei zao zinataka ufumbe macho.

183,000 kwa ddr4

Nimeongeza tdp hadi 25w kutoka 15w FPS za gta v zimeongezeka kama 5 hivi sema laptop ina 8 gb single ram. Bongo ram ddr4 bei kubwa sana, inabidi niagize AliExpress.
 
Nimeongeza tdp hadi 25w kutoka 15w FPS za gta v zimeongezeka kama 5 hivi sema laptop ina 8 gb single ram. Bongo ram ddr4 bei kubwa sana, inabidi niagize AliExpress.
Vyema mkuu, na hapo unaweza pata fps kadhaa ila confirm kwanza na aina ya hio ddr4.
 
Chief-Mkwawa unaizungumziaje hii machine, itaweza kweli heavy duty mfano 3D rendering

Hp probook 430 G6 core i3 8then generation 2019 laptop
Slim laptop
Bei laki 9 tu
Ikiwa na 4GB ram, 128gb SSD na 750gb HDD

Weight: 1.49 kg

Screen size: 13.3"

Screen resolution: Full HD 1920x1080

Display type: LED AntiGlare

CPU model: Intel i3-8145U, 2.1GHz

RAM: 4 GB

SSD: 128 GB

HDD: 750 GB

Graphics card model: Intel UHD Graphics 620

Onboard OS: Windows 10 Pro

Keyboard language: ENG

We offer a powerful portable computer for home and office with Intel i3-8145U, 2.1GHz four core processor and 4 GB DDR4 RAM. This computer is suitable for demanding users for performing a broad range of tasks. The four core processor permits to operate several applications and keep opened numerous documents and webpages, to enjoy background music and download high volume files all at the same time.
Mkuu kwa laki 9 mashine ipo vyema, ila gpu ni ndogo sana kwa 3d unless unatumia software za quicksync.

Utatumia program gani?
 
Autodesk software mf, AutoCad, Revit
Revit itapiga kazi bila wasiwasi, na Autocad pia sema ukifanya kazi kubwa Hd620 itakuwa slow.

mkuu hio ram itakuzingua, Autocad inataka minimum 8gb utabidi ujipinde uongeze,
 
Chief laptop yangu Ina 5500 intel HD pamoja na radeon r7 m260x 1gb gddr5 ram
Je ipi Ina nguvu?...
Je Nikicheza game ipi inakuwa on?...
Inawezekana Ku enable moja wapo kati ya hizo?
Intel(R) core(TM) i5-5300u CPU 2.30ghz to 2.90 4gb ram
HP...
 
Chief laptop yangu Ina 5500 intel HD pamoja na radeon r7 m260x 1gb gddr5 ram
Je ipi Ina nguvu?.
Je Nikicheza game ipi inakuwa on?.
Inawezekana Ku enable moja wapo kati ya hizo?
Intel(R) core(TM) i5-5300u CPU 2.30ghz to 2.90 4gb ram
HP.
hio r7 ndio ina nguvu zaidi mkuu, na gpu inategemea na game baadhi zinakupa option ya kuchagua na baadhi yanachagua yenyewe gpu yenye nguvu.
 
Tofauti yake ni nini? Na hizo nyingine chief.
Bandwidth,

Mfano mzuri tunaoweza kupata ni Nvidia 1030 ambayo ina version mbili.
- moja ya gddr5 yenye bandwidth around 48GB/s
-nyengine ddr4 yenye bandwidth around 16GB/s

Hivyo kupelekea hii ya GDDR5 kuwa na nguvu almost mara mbili hali ya kuwa ni gpu moja tu kila kitu sawa kasoro hizo memory/ram/vram tu.

gt-1030-GDDR5-vs-DDR4-benchmarks.png

Unaweza angalia benchmark ya games kwa hio gpu hapa (2015 kushuka)

..Asante sna Kwa ufafanuzi Chief ngoja nisome hiyo link.
 
Chief-Mkwawa

kuna hii mashine mtu anataka niuzia 150k ni HP ya kulala

i3 -3220 @3.30ghz hii,unasemaje kwenye hii bei ni sawa?

unaionaje ktk utendaji kazi? nikiiweka GPU itaweza kazi

za Graphic muda mrefu? nakutegemea wewe boss...
 
Back
Top Bottom