Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Kwani 150mx na 940mx 4gb ipi ina uwezo zaidi?

Tuseme nina pc core i5 6th gen with gtx 1650(desktop)
Na na hiyo vipi ukizicompare na hiyo ryzen 5 with radion vega 8(laptop)
Maana zote gharama inaingia humo humo mil 1 hadi mil1.3
Hata havifananishiki mkuu, 1650 Ni Kama Mara 4 ama 5 faster compare na Vega 8, 1650 Ni gaming ya 1080p hio kwa quality nzuri tu.

Sema cpu tafuta 8th ama 9th gen mkuu, ukipata kitu Kama i5 9400F Ni nzuri zaidi. Hasa vile una gpu tayari.
 
Maisha zinakwenda kwa kasi sana. Leo hii generation ya saba nayo imekuwa old kidogo kwa matumizi ya kisasa.
 
Naona. Na ktk hii Thread kama miezi flan imepita naona 7th gen anapigwa kwa raia wenye budget na matumizi makubwa
Issue kubwa iliofanya gen 7 kuwa outdated Ni kwamba gen ya 8 Intel ame double core.

-Zamani i3 ilikuwa Ni core 2 na thread 4 Sasa Hivi i3 Ni core 4 (quad-core)
-i5 ndio ilikuwa core 4 Sasa Hivi Ni core 6
-zamani i7 Ni core 4 thread 8 Sasa Hivi i7 Ni core 6 Hadi 8.

Ukija kwenye laptop ndio kabisa, i3 ya gen mpya hizi inashindana vizuri na i7 ya gen ya 7.

i3 8130U
Screenshot_20190920-174127__01.jpg

i7 7500u
Screenshot_20190920-174200__01.jpg

Hivyo unaona hakuna utofauti Sana wa perfomance, Ila kwenye Bei hio i7 utapigwa Bei kubwa wakati perfomance hio hio unaipata kwenye i3 ya 8th gen.
 
Maisha tayari yashakwenda mbali.
Issue kubwa iliofanya gen 7 kuwa outdated Ni kwamba gen ya 8 Intel ame double core.

-Zamani i3 ilikuwa Ni core 2 na thread 4 Sasa Hivi i3 Ni core 4 (quad-core)
-i5 ndio ilikuwa core 4 Sasa Hivi Ni core 6
-zamani i7 Ni core 4 thread 8 Sasa Hivi i7 Ni core 6 Hadi 8.

Ukija kwenye laptop ndio kabisa, i3 ya gen mpya hizi inashindana vizuri na i7 ya gen ya 7.

i3 8130U
View attachment 1212278
i7 7500u
View attachment 1212279

Hivyo unaona hakuna utofauti Sana wa perfomance, Ila kwenye Bei hio i7 utapigwa Bei kubwa wakati perfomance hio hio unaipata kwenye i3 ya 8th gen.
 
Hiyo core i3 bei naona ya kawaida 280$

Hapo ni full au cpu tu?

Hio Ni Bei ya cpu lakini inakuwa sio sahihi Intel wanaandika tu. Bei ya i3 Ni around dola 80 mpaka 120 Hivi tegemea na hio version.

Ila laptop za i3 Ni around dola 300, amazon Hapa naziona $315, yenye 8th gen i3. Na hio Ina windows zenye dos itakuwa chini ya Hapo.
 
Okay sawa,kwahyo laptop ya i3 8th naona naweza cheza latest game kabisa..naona bei ni ya kawaida sana

Gpu mkuu itakukwamisha, utacheza games nyingi Ila latest nyingi zitakupa shinda. Subiria i3 za 10th gen zimeshazinduliwa tayari na dakika yoyote zinaingia sokoni. Gpu yake itahandle Hadi kwa 1080p itadouble perfomance.

Au Kama Unataka kwa Sasa cheki ryzen 5 series kama 2500u ama 3500u yenyewe Bei zake Ni around dola 350 mpaka 400 Hivi na Gpu yake Vega 8 imetulia Sana Kama Nvidia 1030 ya desktop.
 
Ntakucheki mkuu

Mkuu namimi nimenunua laptop ya ryzen 5 2500u na 128gb SSD, 1Tb hdd na 1×8gb ddr4 RAM je performance different ya hiyo ram na 2×4 ni kubwa sana au niiache hii hii tu. Inatumika kwaajili ya gaming kidogo na ms word e.t.c. Na kama unajua 8gb 2400mhz hapa bongo itakuwa sh ngap.?
 
Ndio mkuu italeta utofauti. Ila kuna mambo kwanza inabidi uchunguze.

1. Kuna laptop zina slot 2 za ram ila zinarun kwenye single chanell hivyo hata uweke ram mbili haitasaidia, ni vyema uangalie specs zako kujua.

2. Angalia gpu usage unapocheza game, run game zitozito kama una pad ya Xbox bonyeza ile button ya katikati ama kuna shortcut fulani ctrl +G kama kumbukumbu zipo vizuri, (windows 10), kama gpu inatumika chini ya asilimia 100 inamaana kuna bottleneck mahala fulani ambayo likely ni memory. Kuna case mbalimbali, ila dual chanell inaweza boost asilimia 10 mpaka 70 kutegemea na game.

3. Pia hizi ryzen unaweza run kwa 15w na 25w mode, kama laptop yako ni kubwa pengine ni 25w angalia kwenye bios vitu kama hivi utavikuta na ram speed pia, kwa 25w utapata perfomance kubwa na ukaaji chaji mdogo.

Kuhusu ram wale jamaa wa capricon mjini morogoro road ni kama Amazon vile kila kitu essential wanacho ila bei zao zinataka ufumbe macho.

183,000 kwa ddr4
 
Chief-Mkwawa unaizungumziaje hii machine, itaweza kweli heavy duty mfano 3D rendering

Hp probook 430 G6 core i3 8then generation 2019 laptop
Slim laptop
Bei laki 9 tu
Ikiwa na 4GB ram, 128gb SSD na 750gb HDD

Weight: 1.49 kg

Screen size: 13.3"

Screen resolution: Full HD 1920x1080

Display type: LED AntiGlare

CPU model: Intel i3-8145U, 2.1GHz

RAM: 4 GB

SSD: 128 GB

HDD: 750 GB

Graphics card model: Intel UHD Graphics 620

Onboard OS: Windows 10 Pro

Keyboard language: ENG

We offer a powerful portable computer for home and office with Intel i3-8145U, 2.1GHz four core processor and 4 GB DDR4 RAM. This computer is suitable for demanding users for performing a broad range of tasks. The four core processor permits to operate several applications and keep opened numerous documents and webpages, to enjoy background music and download high volume files all at the same time.
 
Back
Top Bottom