Kwanin APU za AMZ ryzen ni cheap kuliko intel?

Younguther

Member
Mar 8, 2019
17
23
Ni kwanin kompyuta zenye apu za processor ya intel iwe na gharama zaid ya processor za amd ryzen, wakat specs zngne kama processor speed, ram,rom na generation zko sawa
 
Ni kwanin kompyuta zenye apu za processor ya intel iwe na gharama zaid ya processor za amd ryzen, wakat specs zngne kama processor speed, ram,rom na generation zko sawa
Apu za mwanzo za Ryzen zilikua hasi represent generation husika.

Mfano Ryzen 2400G (Apu) ilikuwa ni Zen 1, wakati ryzen 2600 (cpu ya kawaida) ilikua ni ni Zen+

Same kwenye generation iliofuatia ryzen 3400G ilikua ni Zen + na Ryzen 3600 ilikua ni Zen 2.

Kutokana na Apu kutumia architecture za Nyuma ikasababisha ziwe rahisi, ila cpu za kawaida za Amd same gen na hizo Apu bado bei zake zinakuwa juu kidogo, na cpu za kawaida bei inakuwa Sawa na intel.

Soko la mtumba sasa Apu za Amd 3xxx series kushuka ni Chini ya laki 4, Hadi laki 2 unapata Sawa na Cpu za zamani za intel gen ya 7 kushuka.

Ila cpu za kawaida za Amd ni zaidi ya laki 4 Sawa na Cpu za intel Gen ya 8 na hizi zote ni core 6 kupanda.

Hapa ni kwa Desktop.
 
Kwa Laptop cpu yoyote ya intel chini ya gen ya 11 unless ina Nvidia graphics haiwezi ku compete na Apu za Ryzen so kwenye budget laptop kama una shida na graphics za gaming Apu za Amd zinakuwa recommended.

Apu ambazo ni cheap kwenye laptop za Ryzen ni zile za zamani 3xxx kushuka, hizi zina core 4 sawa na intel gen ya 8 mpaka 11, so ni nzuri kiasi tu sio Sana ndio maana bei yake pia ni rahisi.

Ila Apu za kisasa zenye core kuanzia 6 na Gpu za rdna ukibahatisha labda 1.5M ila zinakua na bei sana.
 
Ila nimesikia apu za amd znakula xana umeme na znaheat sana tofaut na intel ili suala lina ukwel gan?
 
Ila nimesikia apu za amd znakula xana umeme na znaheat sana tofaut na intel ili suala lina ukwel gan?
Si Kweli, Bali vice versa can be true.

Kuna generation za intel zinakula umeme balaa,

Apu nyingi za Amd za Desktop hazili zaidi ya 100W, unakuta hata PSU ni 180W tu.

Na hizi za Laptop hazifiki 65W, most of time zinacheza Around 30W na zinapeak around 50W.

Intel gen za karibuni kawaida kukuta cpu zinafika watts 110 kwa Laptop na hadi watts 200+ kwa desktop.

Sema kila moja ina advantage yake, unafanya tu research kabla ya kununua.
 
Back
Top Bottom