Bond ikiwa ya ukweli baina ya wanaopendana,,wengine wa pembeni ni kuwapotezea hata wakikubagua...ni kufocus na mambo yako tu
Nitadeal na kila kitu kitakachokuja mbele yangu..hata hivyo siwezi kujipa matumaini hayoJiandae usije ukaona mwanao mtarajiwa ni mwarabu MTUPU
Tatizo sio kwenda mkuu, tatizo ni unaenda direct kwa nani? Address ni muhimu mkuuNenda Igunga, wapo kibao
Mkuu natamani iwe hivo...InshaallahKwa kipato chako nenda Tabora. Utapata waarabu wa aina zote. Mpaka waarabu wenye mzigo/msambwanda utawapata. Ila jiandae kupokea mafuriko ya ndugu pamoja na majini mbalimbali ambao watafanya kwako kama ukumbi wa mikutano na vikao sugu. Sisi wengine bora tujibusti na Sir.Buni tu sitaki majanga.
Aje hapa Maganzo, watoto wa kiarabu wengi tu, ataoa bila tabu ila hawajui kiswahili, ni kisukuma tu..Kupata connection ndo tatizo mkuu
Et kipato Cha 30 to 100k KWA siku alafu ukose gari kwa kijana mmmhh chai hii
Mkuu kwani huelewi nilichoandika¿ Nimekwambia inafuatana umeanza kupata kipato baada ya muda gani!! Lakin pia gari sio jambo la kwanza kwa kila mtu..yawezekana nilitaka nitimize vingine vya ndani kabla ya gariNdio maana nilimuuliza anajua vizuri kipato cha elfu 30 hadi laki kwa siku kinafananaje?
Usifikiri kila mtu inamchapa kama ilivyo kwako... Kila industry inajitegemea!!! Kama kwa upande wako imekuchapa basi ni sawa..ila upande mwingine maisha yanaendelea kila siku vilevile/yanapendeza zaidiHahaha hapo moja haikai wala mbili mitano 5 imemchapa KWERI KWERI.
Si umesema umekua ukiwa na marafiki wa kiarabu?Kupata connection ndo tatizo mkuu
Asante saaana Mkuuu..asanteNenda sehemu zifuatazo: Mihogoni(Tabora), Lunzewe (Shy), Mwangonye( Nzega Tabora), Kahama (Shy) ni jino moja tu unang'oa mwarabu koko ila uwe tayari kwa lolote hasa la ushirikina na majini ila kama njia hii itakuwia ngumu mtafute Shilole au kama utaona ni ngumu kumuingia mtafute chawa wake [baba levo] anatakuunganisha nae mchango wangu huo ...usiniambie mambo ya dm
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Asante sana Mkuu..Nashaur. Ao swaiba zako wanaeza kua connector. Au
Shuka Zenj wanakuepo kibao maeneo ya foro mida ya jioni. Unaeza kuanza kwa kumuunganisha ktk biashara zako. Kwa akili sn Itakua unapima km ni chaguo sahihi ama laa. Inakupasa kuwa mpole na mnyenyekevu kwa kipindi flani/chote
Mkuu mi natafuta tu kadada dogodogo..kashika dini, kamaisha ya kawaida tu...hao wengine du!! Maji marefuKuna dada flan wa kiarabu anaishi Kigamboni yupo single ana malori Kama 30 hv kila anayemuoa haichukui mwaka. Kama unaweza kujilipua nikuunganishe.
Vidogodogo vina tamaa bado. Hawataki chawaMkuu mi natafuta tu kadada dogodogo..kashika dini, kamaisha ya kawaida tu...hao wengine du!! Maji marefu
Hapana kusema ubaguzi sio sawa kuna makabila hata ya watanzania hawakubaliani kuowana na hii katika jamiii zote na wana sababu. chukulia mfano wamasai asilimia kubwa wanaowana wao kwa wao na makabila mengi tu au wakujuwe vizuri ukiondoa hawa wanaokutana huko na kuishi miaka baadaye wanakuja kubariki. ubaguzi uko katika jamiii zote ukija katika ndoa nenda Zanzibar kama watakupa tu mtoto wao? kwa hili halina harufu ya ubaguzi moja kwa moja ila wanataka kuijuwa family vizuri kabla ya kukubali ili ikitokea tatizo unajuwa pakuanzia mimi siwezi kumpa mtoto wangu kwa mtu simjui family yake. Hata waarabu sio kwamba hawakataliani wenyewe kwa wenyewe wanakataliwa sababu hizi jamii zina status tofauti haya yako katika kila jamii.Waarabu ni wabaguzi sana, jiandae kubaguliwa.