Muongozo: Nataka kuoa mke asili ya kiarabu

Status
Not open for further replies.
Kwa kipato chako nenda Tabora. Utapata waarabu wa aina zote. Mpaka waarabu wenye mzigo/msambwanda utawapata. Ila jiandae kupokea mafuriko ya ndugu pamoja na majini mbalimbali ambao watafanya kwako kama ukumbi wa mikutano na vikao sugu. Sisi wengine bora tujibusti na Sir.Buni tu sitaki majanga.
Mkuu natamani iwe hivo...Inshaallah
 
Muongozo gani tena jamani?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
Ndio maana nilimuuliza anajua vizuri kipato cha elfu 30 hadi laki kwa siku kinafananaje?
Mkuu kwani huelewi nilichoandika¿ Nimekwambia inafuatana umeanza kupata kipato baada ya muda gani!! Lakin pia gari sio jambo la kwanza kwa kila mtu..yawezekana nilitaka nitimize vingine vya ndani kabla ya gari
 
Hahaha hapo moja haikai wala mbili mitano 5 imemchapa KWERI KWERI.
Usifikiri kila mtu inamchapa kama ilivyo kwako... Kila industry inajitegemea!!! Kama kwa upande wako imekuchapa basi ni sawa..ila upande mwingine maisha yanaendelea kila siku vilevile/yanapendeza zaidi
 
Nenda sehemu zifuatazo: Mihogoni(Tabora), Lunzewe (Shy), Mwangonye( Nzega Tabora), Kahama (Shy) ni jino moja tu unang'oa mwarabu koko ila uwe tayari kwa lolote hasa la ushirikina na majini ila kama njia hii itakuwia ngumu mtafute Shilole au kama utaona ni ngumu kumuingia mtafute chawa wake [baba levo] anatakuunganisha nae mchango wangu huo ...usiniambie mambo ya dm

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nashaur. Ao swaiba zako wanaeza kua connector. Au
Shuka Zenj wanakuepo kibao maeneo ya foro mida ya jioni. Unaeza kuanza kwa kumuunganisha ktk biashara zako. Kwa akili sn Itakua unapima km ni chaguo sahihi ama laa. Inakupasa kuwa mpole na mnyenyekevu kwa kipindi flani/chote
 
Asante saaana Mkuuu..asante
 
Asante sana Mkuu..
Ila kuhusu hawa swahiba zangu nawafahamu na familia zao,, wengi ni wa kiume na wakike waliopo washavuka age za kuolewa,,wengi washaolewa....
 
Kuna dada flan wa kiarabu anaishi Kigamboni yupo single ana malori Kama 30 hv kila anayemuoa haichukui mwaka. Kama unaweza kujilipua nikuunganishe.
Mkuu mi natafuta tu kadada dogodogo..kashika dini, kamaisha ya kawaida tu...hao wengine du!! Maji marefu
 
Waarabu ni wabaguzi sana, jiandae kubaguliwa.
Hapana kusema ubaguzi sio sawa kuna makabila hata ya watanzania hawakubaliani kuowana na hii katika jamiii zote na wana sababu. chukulia mfano wamasai asilimia kubwa wanaowana wao kwa wao na makabila mengi tu au wakujuwe vizuri ukiondoa hawa wanaokutana huko na kuishi miaka baadaye wanakuja kubariki. ubaguzi uko katika jamiii zote ukija katika ndoa nenda Zanzibar kama watakupa tu mtoto wao? kwa hili halina harufu ya ubaguzi moja kwa moja ila wanataka kuijuwa family vizuri kabla ya kukubali ili ikitokea tatizo unajuwa pakuanzia mimi siwezi kumpa mtoto wangu kwa mtu simjui family yake. Hata waarabu sio kwamba hawakataliani wenyewe kwa wenyewe wanakataliwa sababu hizi jamii zina status tofauti haya yako katika kila jamii.
 
Status
Not open for further replies.
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom