Muonekano wa stand ya mabasi Bukoba mjini mkoa wa Kagera

"Hiyo huwa hatuuitumii sana, tumeachia nyie wahamiaji."
7adfa3d25e6ccd0d270e8d58e8fb2c50.jpg
Watasema hivo
 
Noo ushaiona stand ya kgoma??
Inaweza shika no 2 au 3 Tz
Kweli mkuu stendi ya kigoma masanga hapa ipo vizuri sana japokua haipo bize kama msamvu,korogwe,singida,moshi maana hapa mchana vi daladala vingi ni vya kasulu,uvinza na manyovu.
 
Kweli mkuu stendi ya kigoma masanga hapa ipo vizuri sana japokua haipo bize kama msamvu,korogwe,singida,moshi maana hapa mchana vi daladala vingi ni vya kasulu,uvinza na manyovu.
Ni stand bora sana na hivyo ilivyoongezewa majengo. Iko poa sana nadhani nawe upo kigoma..
 
Wewe bwana utakuwa na ajenda zile zile kama ilivyo kawaida. Naomba uniambie hapa Bukoba uko sehemu gani kama kweli uko Bukoba nije nikusalimie.

Yaani umekutana na kapicha ka mwaka 2016 ukaona ukaweke hapa ili utafute wa kukuunga mkono, hii picha ni ya miaka miwili iliyopita na kusema ukweli wala kwa jana na leo hauko hapa Bukoba.

Bukoba hsiko hivyo na hata hiyo barabara wala haiko hivyo. Nikuulize tu, mvua imenyesha lini wiki hii hadi kukawa na hayo mashimo?
 
Back
Top Bottom