Muonekano wa stand ya mabasi Bukoba mjini mkoa wa Kagera

Bukoba wanatakiwa kujenga stand nzuri itakayo kidhi mahitaji yao na kuondoa kero kwa wasafiri wanaotumia stand hiyo.
Tunafuata ilani za chama tawala. Bukoba Mjini imeshikwa na ukawa hivyo pesa yote inakwenda serikalini. Itarudishwa akishinda ccm.
 
Nenda uone ya Morogoro mkuu
mkuu hapa ilikua hatua za ujenzi
kuna mtu ashawahi niambia hii kitu, mkuu unaweza weka picha
hapa ilikua kwenye hatua za ujenzi
upload_2018-7-19_19-35-12.jpeg
 
Back
Top Bottom