Muonekano wa stand ya mabasi Bukoba mjini mkoa wa Kagera

Mara ya kwanza kufika hapo abiria wote wameteremka kwenye bus nikajikuta nimebaki mwenyewe, konda kaniuliza nikamwambia mimi nateremkia bukoba mjini stand kuu( akasema ndio hapa ndugu) sikuamini hadi nilipomuuliza nshomire mmoja akanithibitishia. Niliona maajabu haya duuuuh!
 
Hahaah....
 
Back
Top Bottom