Muonekano wa stand ya mabasi Bukoba mjini mkoa wa Kagera

wahaya hawana haja na stendi ya vidaladla/mabasi-kwani wnengi wao wanatumia ndege hadi kwenda sokoni
 
bora hiyo.ushawahi kuziona stand za mikoa ya mara,Dodoma,shinyanga na pwani?unaweza kuzimia
 
nimeona stand ya singida ile mpya aise ni ya kimataifa ile stand, nadhan itakua inaonngoza kwa hapa bongo
Unaijua stand ya Msamvu wewe? Ulishaiona stand ya Koogwe wewe? Sema ya Singida inachuana na ya Tanga kwenye nafasi ya 3!
 
Hayo ni madhara ya kumchagua muhamiaji haramu kuiongoza manispaa ya Bukoba miaka michache iliyopita athari zake ndio kama hizo!
 
bora hiyo.ushawahi kuziona stand za mikoa ya mara,Dodoma,shinyanga na pwani?unaweza kuzimia
Ya Dodoma ni aibu sana iliyopo sasa nadhani kwasababu ni Jiji na Serikali inahamia huko then watajenga stand kubwa na ya kisasa muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom