Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,855
- 28,608
wahaya hawana haja na stendi ya vidaladla/mabasi-kwani wnengi wao wanatumia ndege hadi kwenda sokoni
Stand ya kawaida tu hiyo nimepita juzi hapo..mh, msamvu nayoijua hii hakuna hata kidogo nadhani ile stand ya singida hujafika bado wala kuiona
Msamvu tishio sasa hivi, tena upande ule wa stendi ya zamani napo kumejengwa kisasa. Imekuwa stendi kubwa sana tena yenye jengo kubwa la terminalNenda uone ya Morogoro mkuu
True hata moro haionI ndani pale singida.nimeona stand ya singida ile mpya aise ni ya kimataifa ile stand, nadhan itakua inaonngoza kwa hapa bongo
Acha waijenge Dar kwanza hadi iwe kama NewYork ndo watakumbuka kwaoDaah mabilionea wa kinshomile hapo ndo stand kwao?
Unaijua stand ya Msamvu wewe? Ulishaiona stand ya Koogwe wewe? Sema ya Singida inachuana na ya Tanga kwenye nafasi ya 3!nimeona stand ya singida ile mpya aise ni ya kimataifa ile stand, nadhan itakua inaonngoza kwa hapa bongo
Ya Dodoma ni aibu sana iliyopo sasa nadhani kwasababu ni Jiji na Serikali inahamia huko then watajenga stand kubwa na ya kisasa muda si mrefu.bora hiyo.ushawahi kuziona stand za mikoa ya mara,Dodoma,shinyanga na pwani?unaweza kuzimia
msimchokoze jiwe jamani