Nikianzia namba 4. Sijaongelea ibada wala sadaka.1. We umeona Mungu mwingine ameona vitu vya kawaida katika nature, ukosaji wako wa maarifa ndo umekufanya uamini ni Mungu na sio vitu vya kawaida tu.
2. Uhai sio Kama Maji, hauwezi kuwekwa kwenye chombo hiki na kupelekwa kile. Uhai ni kama moto wa kiberiti, ukiuwasha ukizima huwezi uwasha Tena bila kutumia moto mwingine.
3. Mtu mawazo yake yote yapo kwenye ubongo, hence ubongo ukifa na mawazo hufa, unakua hujui chochote huoni chochote, na madoctor wameprove hivyo kwa watu wenye matatizo ya ubongo. Watu walioandika hizi story walikuwa wanajua moyo ndo unafikra, roho sijui Nini, ndo maana wakasema hivyo. Ila now tunajua hamna kitu Kama roho na ishakuwa disproven Mara kibao.
4. Kingine acha uwoga. Waliokutishia wanataka sadaka zako na kucontrol maisha yako?
Sayansi haiwezi thibitisha Kila kitu sayansi udili na vinavyoonekana nje ya hapo mfano Roho,ndoto,UFO, Tabia,asili ya kitu, mwisho wa kitu,muunganiko wa Roho, nafsi na mwili haina majibu.Sijazungumzia biblia bali dhana nzima ya Mungu bila kujali kitabu cha dini wala dini, kuna vitabu na dini nyingi sana ila kote kuna dhana ya kuwepo Mungu na ndio nauliza hao wazungu wamefanya utafiti wa kisayansi na kupata majibu?
Wanafanya huo uchunguzi wa kisayansi ili kupata ukweli au wanasema tu hakuna ushahidi wa kisayansi?Hawajampata huyo Mungu Wala ushahidi wowote Kama yupo. Wakimpata atakuwepo
Sawa sayansi haiwezi kujibu kila kitu ila watu hutumia hiyo sayansi kupinga kila kitu, mfano mtu atakwambia hakuna roho na kama wewe unambishia basi toa ushahidi wa kisayansi na kama ukishindwa kutoa ushahidi wa kisayansi basi moja kwa moja inakuwa hakuna roho.Sayansi haiwezi thibitisha Kila kitu sayansi udili na vinavyoonekana nje ya hapo mfano Roho,ndoto,UFO, Tabia,asili ya kitu, mwisho wa kitu,muunganiko wa Roho, nafsi na mwili haina majibu.
Ni asilimia 10% ya mambo yaliyopo Duniani ndo sayansi imejibu
Sayansi Sio only factor ya kupima uthibitisho wa jambo sayansi ni branch tu ya elimu kati ya mamilioni ya elimu au njia zingine za kuthibitisha mambo.Sawa sayansi haiwezi kujibu kila kitu ila watu hutumia hiyo sayansi kupinga kila kitu, mfano mtu atakwambia hakuna roho na kama wewe unambishia basi toa ushahidi wa kisayansi na kama ukishindwa kutoa ushahidi wa kisayansi basi moja kwa moja inakuwa hakuna roho.
Sio mimi mkuu naelezea hao watu ambao hawaamini Mungu,roho n.k ndio hutumia sayansi kupinga kila watakacho kukipinga na hujiita ni waumini wa sayansi.Sayansi Sio only factor ya kupima uthibitisho wa jambo sayansi ni branch tu ya elimu kati ya mamilioni ya elimu au njia zingine za kuthibitisha mambo.
Usijifungie kwenye box moja tu la sayansi.
Sayansi inapokoma kutoa jibu tunaangalia elimu zingine kutafuta jibu, mfano sayansi haiwezi kukupa jibu tabia ukaa wapi mwilini, kwenye nafsi au kwenye Roho,maisha baada ya kifo,kabla ya mtu kuzaliwa alikua wapi.
Sayansi ukupa majibu ya kile kinachoonekana tu, lakini Haina majibu juu ya asili au chanzo Cha Hicho kitu.
Hata kitu kiitwachwo technolojia ni transformation ya imagination ambapo imagination ni copy na paste ya ideology ya vitu toka outer world either kupitia ndoto au factors zingine.
Watu wafanyao transformers ya idea toka outer worlds na kuleta in physical world wanaitwa genius au wabunifu.
Wamejilimiti elimu kwa kujifungia kwenye box la sayansi.Sio mimi mkuu naelezea hao watu ambao hawaamini Mungu,roho n.k ndio hutumia sayansi kupinga kila watakacho kukipinga na hujiita ni waumini wa sayansi.
๐คฃUmeshindwa kujibuNikianzia namba 4. Sijaongelea ibada wala sadaka.
3. Unaonesha mapungufu ya maarifa. Mawazo siyo uhai.
2. Wrong again
1. Inawezekana unalazimisha nadharia na siyo kujadili nadharia na facts.
Nimekuelezea nionavyo mimi, lakini sentensi ya kwanza ukaanza kuni degrade personal huo ni upungufu mkubwa kwenye meza ya mjadala.
Maoni yangu bado haujayajibu bali umekuja na hoja dhaifu tena za kukurupuka bila kujua unaongea nini.
Na imejibu maswali Kama mvua zinasababishwa na Nini, volcano na tsunami zinasababishwa na Nini, kuangaza na kuzama kwa jua inasababishwa na Nini na vitu vingine vingi ambavyo zamani walijua ni Mungu ndo anafanya hii kazi. So why usiwe na subira na uvumilivu Kama wanasayansi katika kutafuta majibu kuliko kuja na conclusion kwamba sijui roho sijui Mungu, huo ni uvivu wa kufikiria na uvivu wa kutafiti ndo maana mzungu anatengeneza chanjo ya corona, mbongo anaenda kwa mwamposa kukanyagana mafuta, afu unauliza why wazungu wanaendelea. Kingine ukiongelea roho uniambie mbwa ana roho au Hana, na Kama anayo kutakuwa na mbwa wanaenda mbinguni au motoniSayansi haiwezi thibitisha Kila kitu sayansi udili na vinavyoonekana nje ya hapo mfano Roho,ndoto,UFO, Tabia,asili ya kitu, mwisho wa kitu,muunganiko wa Roho, nafsi na mwili haina majibu.
Ni asilimia 10% ya mambo yaliyopo Duniani ndo sayansi imejibu
Toa hoja acha uwoga na uvivu wa kufikiriUlimwengu hauishi vituko hiki nacho kituko
Hamna ushahidi wa kisayansi kwamba Mungu, especially huyo wa kwenye Biblia ambae kitabu chake kina makosa nje ndani, yupoWanafanya huo uchunguzi wa kisayansi ili kupata ukweli au wanasema tu hakuna ushahidi wa kisayansi?
Kuna tofauti gani na kitu ambacho hakionekani, hakishikiki, hakinusiki, hakionjeka, hakiskiski, kinatofautiana maelezo kutoka kwa watu na sehemu, hakipimiki, hakina mantiki... Na kitu ambacho hakipo kabisa. Tofauti ya hivi vitu viwili ni Nini?Sawa sayansi haiwezi kujibu kila kitu ila watu hutumia hiyo sayansi kupinga kila kitu, mfano mtu atakwambia hakuna roho na kama wewe unambishia basi toa ushahidi wa kisayansi na kama ukishindwa kutoa ushahidi wa kisayansi basi moja kwa moja inakuwa hakuna roho.
1. Tabia ni activity za ubongo wako, ubongo wako ndo unaamua we ulale au uamke, upumue au ufe, uote au usiote, uongee ama usionge, ule ama usile, walioandika hekaya zenu hawakujua Hilo ndo wakaja na mambo ya nafsi sijui roho sijui moyo ni kwamba hawakuwa na elimu ya Sayansi. Ndo maana katika Sayansi especially neurology ushaambiwa soul doesn't exist kila kitu Kiko kwa brain.Sayansi Sio only factor ya kupima uthibitisho wa jambo sayansi ni branch tu ya elimu kati ya mamilioni ya elimu au njia zingine za kuthibitisha mambo.
Usijifungie kwenye box moja tu la sayansi.
Sayansi inapokoma kutoa jibu tunaangalia elimu zingine kutafuta jibu, mfano sayansi haiwezi kukupa jibu tabia ukaa wapi mwilini, kwenye nafsi au kwenye Roho,maisha baada ya kifo,kabla ya mtu kuzaliwa alikua wapi.
Sayansi ukupa majibu ya kile kinachoonekana tu, lakini Haina majibu juu ya asili au chanzo Cha Hicho kitu.
Hata kitu kiitwachwo technolojia ni transformation ya imagination ambapo imagination ni copy na paste ya ideology ya vitu toka outer world either kupitia ndoto au factors zingine.
Watu wafanyao transformers ya idea toka outer worlds na kuleta in physical world wanaitwa genius au wabunifu.
2+2=4 dunia nzima. Haijalishi we mwindi, msukuma, mzungu, myahudi, mchina. Bora nijifungie kwenye box yenye majibu ya uhakika na ya kuthibitishwa kuliko kujifungia kwenye box la "ni hivi kwa sababu nimesema hivi na usipoamini unaungua baada ya kufa" na kila mtu anakuambia chake na masharti sawa.Wamejilimiti elimu kwa kujifungia kwenye box la sayansi.
Hao ni tomaso
Uwoga wako huo ndo unafanya we uombee Mungu akupe gari afu mzungu analitengeneza Hilo gari na wewe unalinunua na anaendelea kua tajiri we unaendelea kumtegemea๐ผ๐๐จ๐๐ ๐๐ช๐ฃ๐ ๐ข๐๐ข๐๐ค ๐ฎ๐๐ฃ๐๐๐๐ ๐๐ง๐๐จ๐๐ ๐จ๐๐ฃ๐ ๐๐ช๐ฃ๐ ๐๐ช๐๐ ๐ช๐ฃ๐๐ ๐๐ ๐ช๐ฃ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐๐๐ซ๐ ๐๐ช๐ฃ๐๐ช ๐๐ก๐๐ฉ๐ค๐ ๐๐ ๐ฌ๐๐ฅ๐ ๐๐ ๐๐ช๐ฃ๐๐ช ๐๐จ๐๐ฃ๐๐๐ ๐ช๐ฌ๐๐ฅ๐ค ๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐ฃ๐ ๐ฃ๐ ๐จ๐๐จ๐ ๐ฉ๐ช๐ฃ๐๐๐ฉ๐ค๐ ๐๐ ๐ฌ๐๐ฅ๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐๐ก๐๐ข๐ช๐ช๐ข๐๐ ๐๐ช๐ฃ๐๐ช ๐๐๐๐๐ ๐ฃ๐๐๐๐ ๐ ๐ฃ๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐ข๐๐ ๐ฃ๐๐จ๐๐๐ ๐ ๐ช๐ ๐ช๐๐ช๐ง๐ช ๐ ๐๐ข๐ ๐ฌ๐๐จ๐ฌ๐๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐๐จ๐๐ข๐๐ซ๐ฎ๐ค.[emoji114]
unajitaabisha bure.๐คฃUmeshindwa kujibu
1. Ukosaji wa maarifa ndo uumbaji wa miungu, zamani watu waliojua mawinguni Kuna Mungu na anafungua madirisha kusababisha mvua Leo hii huamini hivyo coz una maarifa, unavyozidi kuwa na maarifa kuhusu maisha na Hali halisi ya ulimwengu unakuwa muelewa na huwezi ukaishia kuamini miujiza
2. Mbwa ana roho? Mbwa nao wataenda mbinguni na Motoni? Tell me why?
๐คฃNi hai Yuko wapi Sasa. Mi simwoni Kama unamwona mlete tupige nae story, sio unajiongelesha na kujiotesha afu unasema yu hai..unajitaabisha bure.
Mungu atakuongoza taratibu utaelewa kuwa YEYE siyo concept. Mungu ni HAI na yupo anapatikana popote unapofikiria