SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,038
- Thread starter
-
- #41
Wakristo mmekuta dini ya wayahudi mmeiba mmeongeza story zenu mnajigamba. Ukimaliza uniambie aliyemuumba Mungu Ni nani?Mungu ni mada pana sana maana kuna miungu mingi mno mengine ikiwa watu, vitu na roho, nafsi ila aliyeumba kila kitu ni MMOJA.
Ndo maana ikaandikwa katika Yeremia 10:11 kuwa wakati ukifika Miungu isiyoumba mbingu na nchi lazima iangamizwe.
Je, kwanini kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusu aliyeumba vyote, wote na yote kuwepo ama kutokuwepo?
Kwa sababu uumbaji wote ulitekwa nyara baada ya aliyekasimiwa uumbaji kuvamiwa (Moyo Wa Mwanzo, Mwanzo 1:1)ndo maana ukija soma katika 1korintho 15:24-28 “Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.”
“Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.”
Tuki soma hapo tunaelewa kwamba kumbe Ufalme, mamlaka na nguvu havikuwa kwa muumba baada ya uumbaji kutekwa, ndo maana hata ibilisi alikuwa na uwezo wa kumpandisha Yesu kwenye kinara na kumwambia hii yote unayoona ni miliki yangu nisujudie nikupe yote katika Luka 4:6 “Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.”
Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa aliyetuumba anaenda kwa majira na wakati na habaki palepale kila lango (siku). Mfano habari za Yesu ziliandikwa tangia kipindi cha nabii Isaya lakini alipokuja wayahudi wakamkataa na kusema ni mtoto wa seremala tu wao wanamsubiri masihi paka leo 90% ya waisrael hawamkiri Kristo.
Wakristo mmekuta dini ya wayahudi mmeiba mmeongeza story zenu mnajigamba. Ukimaliza uniambie aliyemuumba Mungu Ni nani?
Mungu yupo
Usimtishe mueleweshe ila kwa mwenye akili na vilivyomo humu duniani mwenye akili lazima ajue vina mwenyeweUsitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka maandishi haya
Tatizo lako una soma Biblia kama story book.Nimesoma Biblia na inamakosa kuhusu dunia, viumbe, historia, Sayansi na utu kuliko kitabu chochote katika historia ya binadamu. Ukitaka uache ukristo soma Biblia. Hata mtoto wa la pili anaweza akatengeneza storybook na ikaeleweka kuliko Biblia. Kama unabisha nitajie Babu yake Yesu mzaa baba ni nani?
Pole sana!Usitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka maandishi haya
Ushaambiwa ukiondoa DINI hakuna MUNGU, kwa hio jiongezee unataka kua mpagani au unataka kua mtu wa dini zilizoletwa na Majahazi ?Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.
Umejiona mjanja ee ndo maana nakuambia soma Biblia nzima ndo urudi. Haya nenda kasome luka 3 23 mpaka 38 uniambie Babu yake Yesu Ni nani. Jacob au Heli. Ukija na jibu moja nishtueTatizo lako una soma Biblia kama story book.
Biblia ni kitabu kilichokamilika tena kwa matukio mengi haswa..Jibu lako lipo kitabu cha Mathayo 1:1-17
Pagan sio mtu ambae hana dini, ni mtu ambae anaabudu miungu tofauti na watu wa pale.Ushaambiwa ukiondoa DINI hakuna MUNGU, kwa hio jiongezee unataka kua mpagani au unataka kua mtu wa dini zilizoletwa na Majahazi ?
Hii simulizi na hekaya umeitoa wapi ? Uliwahi kua na huo mwili mpya ukaonja joto ya jiwe au umesimuliwa na waliowahi kufanywa hivyo ? Mda mwingine tuwe na kiasi Cha kuogopeshana jaman, usiwajaze watu uoga swali ni kwamba ukifa unaenda wapi ?Kuna mtu alisema ubongo ni receiver tu, kuna master brain ipo ambayo inatunza kumbukumbu zako na ikifika siku ya mwisho ndo tutajua hatujui pale utakaposhangaa una mwili mpya na ubongo mpya usioungua ukaisha ila maumivu hayazoeleki.
INASIKITISHA MNO.
Ushaambiwa ukiondoa DINI hakuna MUNGU, kwa hio jiongezee unataka kua mpagani au unataka kua mtu wa dini zilizoletwa na Majahazi ?
Ushawahi msikia mpagani anaogopa kwamba akifa huko aendako anaenda kuchomwa Moto na kupewa mateso yasiyovumilika ?Pagan sio mtu ambae hana dini, ni mtu ambae anaabudu miungu tofauti na watu wa pale.
Ndio maana nikasema ukiondoa DINI hakuna MUNGU, wewe hizo habari kusingekua na Biblia au Qur'an ungezijulia wapi ?Sio kweli maana hata kipindi cha Ibrahim ambapo wakristo kwa waislam wanaamini ndo Baba yao kila mtu akivutia kwake hakukuwa na DINI na Ibrahimu hakuwa na DINI.
Dini zimeanza baada ya Isaka na Ishamael kumzika baba yao Ibrahim na kila mmoja kwenda njia yake akifundishwa namna ya kuabudu na mama yake ndo ukatokea ukristo na uislam kabla ya hizi zengine zote.
Muumba wa vyote, wote na yote hana DINI.
Wapi pamekuchanganya hapo. hakuna ujanga wowote hapo ni kuelimishanaUmejiona mjanja ee ndo maana nakuambia soma Biblia nzima ndo urudi. Haya nenda kasome luka 3 23 mpaka 38 uniambie Babu yake Yesu Ni nani. Jacob au Heli. Ukija na jibu moja nishtue
Wapi pamekuchanganya hapo. hakuna ujanga wowote hapo ni kuelimishana
Ndio maana nikasema ukiondoa DINI hakuna MUNGU, wewe hizo habari kusingekua na Biblia au Qur'an ungezijulia wapi ?