Hawa watafsri wetu wa mombasa nao walikua sijui wamekula miraa?Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
Hiyo aya niliyokupostia huioni au unajitia upofu??? Au hujui kusoma??Allah yuko wapi? Kwani ni swali gumu sana hili? Mbona unazunguka? Kumbe ni rahisi kurukia kwenye kukashifu imani zingine ilhali ya kwako mwenyewe huna hata idea?
Allah yuko wapi, shaikh?
Achana na aya ambayo haijibu swali, jibu Allah yuko wapi? Soma hiyo aya halafu utuambie Allah yuko wapi?Hiyo aya niliyokupostia huioni au unajitia upofu??? Au hujui kusoma??
ALLAH yupo juu ya A'rsh...!!Achana na aya ambayo haijibu swali, jibu Allah yuko wapi? Soma hiyo aya halafu utuambie Allah yuko wapi?
Haiwezekani uweze kuelezea kiundani kwa kejeli na majigambo Mungu wa wakristo nawe huwezi hata kusema mungu wako yupo wapi! Huu ni ucheshi mkumbwa sana!
Sema Allah yuko wapi?
Sasa kama aya haijibu swali lako , unataka nikujibu nini zaidi? Nimekuwekea ushahidi wa andiko na bado huutaki, nini kingine kitakufanya ukubaliane nami? Au umekuja hapa ukiwa na majibu yako?Achana na aya ambayo haijibu swali, jibu Allah yuko wapi? Soma hiyo aya halafu utuambie Allah yuko wapi?
Haiwezekani uweze kuelezea kiundani kwa kejeli na majigambo Mungu wa wakristo nawe huwezi hata kusema mungu wako yupo wapi! Huu ni ucheshi mkumbwa sana!
Sema Allah yuko wapi?
HiyoArsh ilikuwepo milele au kuna wakati haikuwepo? Kama ilikuwepo milele hiyo Arsh nayo ni Mungu kama kuna kipindi aikuwepo kipindi hicho Allah alikuwa wapi?ALLAH yupo juu ya A'rsh...!!
Allah yuko wapi ndio swali. Kusema yuko kwenye kiti cha enzi haijibu swali ila inaongeza tu Allah na kiti chake cha enzi wapo wapi?Sasa kama aya haijibu swali lako , unataka nikujibu nini zaidi? Nimekuwekea ushahidi wa andiko na bado huutaki, nini kingine kitakufanya ukubaliane nami? Au umekuja hapa ukiwa na majibu yako?
Kwa nini umesema hivyo?Hawa watafsri wetu wa mombasa nao walikua sijui wamekula miraa?
A'rsh ya ALLAH ipo juu ya mbingu ya saba!! A'rsh ndio kiumbe kikubwa zaidi kuumbwa na ALLAH .Allah yuko wapi ndio swali. Kusema yuko kwenye kiti cha enzi haijibu swali ila inaongeza tu Allah na kiti chake cha enzi wapo wapi?
Umejuaje kwamba ni binadamu tu ambao wapo ulimwenguni?Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?
Kuna mtu aliwahi kusema hivi kwa kiingerezaTabu inaanza pale tunapotaka kutumia akili za kawaida kuelewa mambo yasiyo ya kawaida...
Umesahau kutupa marejeo ya hizi hadithi.-Mtume anasema mmoja wenu akiswali asitupe mate mbele, kwani yupo Mungu.
-Hadithi ya Mtume inasema Mungu anamwambia mja: Mja wangu mimj nimeumwa hukuja kunitembelea! Mja akauliza Mola wangu kwani wewe huumwa? Mungu akajibu; lau ungeenda kunitembelea ungenipata kwake!
Umesahau kutupa marejeo ya hizi hadithi.-Mtume anasema mmoja wenu akiswali asitupe mate mbele, kwani yupo Mungu.
-Hadithi ya Mtume inasema Mungu anamwambia mja: Mja wangu mimj nimeumwa hukuja kunitembelea! Mja akauliza Mola wangu kwani wewe huumwa? Mungu akajibu; lau ungeenda kunitembelea ungenipata kwake!