Mungu yuko wapi?

Mungu yuko wapi?

Maswal rahsi sana ukiwa muislam. Mungu yupo mbingun na wachawi wako gamboshi na mizimu iko kuzimu
 
Masuala ya njaa yanaelezeka kibaiolojia. Lakini kabla hatujaiwaza njaa tuwaze huyu aliyetuumba mpka tukawa tunafunction namna hii yuko wapi? Alikuwa wapi? Aliketi wapi? Na alisimama wapi wakati anaumba yote yaliyopo ulimwenguni. Hilo ndio swali mku. Elewa swali.
Nakuomba kula shiba then ulaleee! vizuri kabisa.......sasa basi yuleee Mtu anaetembea yule! anafanya kila kitu! wakati wewe binafsi yako umelala!! ndo mwenyewe huyo!

ukiamka mara nyingi mnaziita ni ndoto tu!! usipuuze fanya jaribio hili kila siku!! utaja nishukuru!
Aliketi wapi?
Hili swali lako ni zuri sana! iko hivi litunze ili siku akija! kifupi, tutamlaki Mawinguni sasa ....umuulize ivo!
 
Ulipo yupo.
Hujambo mkuu!! daaaa!! umepoteaaa! kwa nini lkn?? unajua niliwaza mbali sana.....hata ivo siamini km ni weye yule halisi kweli???...mwenye hoja moto moto!! asiye ogopa kitu?...siamini ngoja....!...

Make siku hizi bana Duniani hii haitabiriki...mara HIV, COVID, EBORA mwee! ajali ndo usiseme!........ sijui nikoje ilinichukua miaka mi 3.5 kuamini jiwe kavuta ujue heeee! nakuja...
 
Nilichoambiwa na wamisionari, Mungu yupo mahali popote, hana mwanzo wala mwisho. Sikutakiwa nihoji ikanibidi nipokee tu kama zuzu! Nashukuru kwa huu Uzi, hebu mjimwage na maoni yenu nami niondoe uzuzu wangu. Nasubiri ila Kiranga asiongee!
 
Mungu yupo mahali pote....kila sehemu yupo...Mungu hana physical locality..kusema utamkuta pale...hizo phyical characteristics zipo kwa viumbe...God is not bound by physical dimension nor time....yupo.kila sehemu...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Bora angewagawagawa kwenye sayari zingine tusingegombania madini na mafuta na wazungu.Tungekuwa salama.AU WANGETUFATA HUKO HUKO MARS MAANA WAZUNGU HAWANA MAANA.
 
Mungu yupo mahali pote....kila sehemu yupo...Mungu hana physical locality..kusema utamkuta pale...hizo phyical characteristics zipo kwa viumbe...God is not bound by physical dimension nor time....yupo.kila sehemu...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ni kama liturubai lipaaaana limeenea pote.
 
What is the point, unasema hakuna Mungu na at the same time unaadmitt dunia iliumbwa,

Huoni kama unajichanganya kk
Haikuumbwa na Mungu hujamuelewa, Yaani yaweza kuwa iliumbwa ila sio na mungu wa bibilia wala quraan.NGUVU KUBWA ANAKUBALI ILA SIO INAYOTANGAZWA
 
Back
Top Bottom