Katika tumbo la mama kulikuwa na watoto wawili. Mmoja akamuuliza mwenzake: “Je, unaamini maisha baada ya kujifungua?” Yule mwingine akajibu, “Kwa nini, bila shaka. Lazima kuwe na kitu baada ya kujifungua. Labda tuko hapa kujitayarisha kwa kile tutakachokuwa baadaye.”
"Upuuzi," wa kwanza alisema. "Hakuna maisha baada ya kujifungua. Je, hayo yangekuwa maisha ya aina gani?” Wa pili akasema, "Sijui, lakini kutakuwa na mwanga zaidi kuliko hapa. Labda tutatembea kwa miguu yetu na kula kutoka kwa midomo yetu. Labda tutakuwa na hisia zingine ambazo hatuwezi kuelewa sasa.
Wa kwanza akajibu, “Huo ni upuuzi. Kutembea haiwezekani. Na kula kwa midomo yetu? Kichekesho! Kamba ya umbilical hutoa lishe na kila kitu tunachohitaji. Lakini kamba ya umbilical ni fupi sana. Maisha baada ya kujifungua yanapaswa kutengwa kimantiki.” Wa pili alisisitiza, "Nadhani kuna kitu na labda ni tofauti na ilivyo hapa. Labda hatutahitaji kamba hii ya mwili tena." Wa kwanza akajibu, “Upuuzi. Na zaidi ya hayo, ikiwa kuna uhai, basi kwa nini hakuna mtu aliyewahi kurudi kutoka huko? Kujifungua ni mwisho wa maisha, na katika baada ya kuzaa hakuna ila giza na ukimya na usahaulifu. Haitupeleki popote.” “Sawa, sijui,” akasema wa pili, “lakini hakika tutakutana na Mama naye atatutunza.
” Wa kwanza akajibu “Mama? Unamwamini Mama kweli? Hiyo inachekesha. Kama mama yupo, yuko wapi sasa hivi?" Wa pili akasema, “Anatuzunguka pande zote. Tumezungukwa naye. Sisi ni wake. Ni ndani Yake tunaishi. Bila Yeye, ulimwengu huu haungekuwepo na tusingekuwepo." Alisema wa kwanza:
"Kweli, simuoni, kwa hivyo ni sawa kwamba Yeye hayupo." Ambayo wa pili alijibu, "Wakati mwingine, unapokuwa kimya na ukizingatia na kusikiliza, unaweza kuona uwepo Wake, na unaweza kusikia sauti Yake ya upendo, ikiita kutoka juu." Labda hii ilikuwa moja ya maelezo bora ya dhana ya MUNGU.
Hapa kidogo una shida, aya iko wazi sana, aya inasema kisha akastawi juu ya Arshi yake. Maana ya juu iko wazi sana. Sasa unapo taka tafsiri sijui unataka tafsiri gani zaidi ya hiyo ?Hii ni tafsiri ya tarjama/subtitle lete tafsiri ya wafasiri wa Quran walivyotafsiri.
Je hakuwataja wanazuoni hao wa karne ya tatu ?Tafsiri ya Imam Qurtubi imeelezea vyema maana ya hiyo aya na ameweka wazi kuwa wanawazuoni wa karne 3 bora msimamo wao ni kuwa Allah ameepukana na upande. Iwe juu, chini, mbele, nyuma, kulia ama kushoto hivyo vyote Allah ameepukana navyo. Kusema Allah yupo juu ya ni makosa. Kwa usahihi na uelewe zaidi na huu si msimamo wangu bali ni Aqida ndivyo inavyosema kwa maelezo ya kina na ya usahihi kaangalie tafsiri ya Imam Qurtubi Juz.7 ukurasa wa 196 ambao ndiyo kauli niliyokupatia.
Hapa naona unataka kumsingizia Imam Abul Fida Ismail Imaad diin Ibn Kathiir, katika aya hii yeye anafata uelewa wa wema walio tangulia ambao ni Malik, Al-Awza`i, Ath-Thawri, Al-Layth bin Sa`d, Ash-Shafi`i, Ahmad, Ishaq bin Rahwayh na wengine kwa kuchukua maana ya wazi kama ilivyo kuja katika Qur'aan, na maana hiyo iko wazi na tamko "Istawa" liko wazi. Rejea katika tafsiri yake alipokuwa anafasiri aya hiyo.Kauli yangu inakwenda sambamba na Imam Hafiz ibn Katheer (Tafseer ibn Katheer Juz. 2 ukurasa 220.
Allab hayupo juu ya Arshi kwa ushahudi gani ? Maana huna ushahidi wowote unao utoa zaidi ya maoni ya hao Wanachuoni, huku ukimsingizia uongo Imam Ibn Kathir.-Mungu hayupo juu ya Arshi, na kama yupo juu ya Arshi jiulize kabla ya kuiumba hiyo Arshi alikuwa wapi?
Haya si madhebeu ya wema walio tanguli, hili amelithibitisha Imam Ibn Kathir, kadhalika Imam Shafii hakuwa na itikadi hiyo.Wanawazuoni wa Sunnah wal Jamaa wanasema kuwa: Alikuwepo Mwenyezi Mungu bila ya sehemu (juu ya Arshi). Na kama alivyokuwepo bila ya sehemu basi yupo bila ya sehemu. Hii kauli utaipata kwenye kitabu cha Sheikh Mansoor Al Bakhdadi cha Al Farqu baynal Firaq. Ni mwanawazuoni mkubwa wa madhheb ya Imam Shafii. Na huo ndio msingi katika sheria ya Kiislamu kuwa Allah habadiliki.
Unachokifanya ni ujanja wa kujificha kwenye kivuli cha dokezo la kudokoa hapa na pale aina fulani ya maneno kwa kuvisha vazi la ujuzi ili ionekane kuna kitu unajaribu kukiweka sawa kwa kuonesha kuna kitu kipo wrong. Brother, huo mwenendo si mzuri na Mimi si aina ya watu ambao wa kuwachezea mchezo huo.Hapa kidogo una shida, aya iko wazi sana, aya inasema kisha akastawi juu ya Arshi yake. Maana ya juu iko wazi sana. Sasa unapo taka tafsiri sijui unataka tafsiri gani zaidi ya hiyo ?
Je hakuwataja wanazuoni hao wa karne ya tatu ?
Hakuna aqida ya Uislamu inayosema hivi. Sababu hapo mnapingana na aya, maana yake kama Imamu Qurtubiy amesema haya amekosea, anakuwa amefanya "taawili" katika aya.
Tamko kustawi lina maana yake.
Hapa naona unataka kumsingizia Imam Abul Fida Ismail Imaad diin Ibn Kathiir, katika aya hii yeye anafata uelewa wa wema walio tangulia ambao ni Malik, Al-Awza`i, Ath-Thawri, Al-Layth bin Sa`d, Ash-Shafi`i, Ahmad, Ishaq bin Rahwayh na wengine kwa kuchukua maana ya wazi kama ilivyo kuja katika Qur'aan, na maana hiyo iko wazi na tamko "Istawa" liko wazi. Rejea katika tafsiri yake alipokuwa anafasiri aya hiyo.
Sasa swali langu kwako hiyo kauli yako inayokwenda sambamba na kauli ya Imam Ibn Kathir ni ipi ? Imam Ibn Kathir hana kauli hiyo, sasa kama hujasoma vitabu umekopi marejeo bila kusoma, nenda kasome tena.
Allab hayupo juu ya Arshi kwa ushahudi gani ? Maana huna ushahidi wowote unao utoa zaidi ya maoni ya hao Wanachuoni, huku ukimsingizia uongo Imam Ibn Kathir.
Haya si madhebeu ya wema walio tanguli, hili amelithibitisha Imam Ibn Kathir, kadhalika Imam Shafii hakuwa na itikadi hiyo.
Nikirudi nakuja kukuelezea wapi hii Itikadi waliitoa. Nilikuuliza unamjua Jahm Ibn Saf'wan ? Huyu ndiyo mwenye itikadi hii na hawa waliathirika na Wanafalsafa na Wakrsito.
Hao watoto wakiwa tumboni walijuaje kama kuna kitu kinaitwa kuzaliwa?
Who certainly informed them about birth?
How did the awareness of birth came to them?
kuwa ipo siku watazaliwa baada ya miezi tisa?
Huenda sijaelewa, naona hiyo nadharia yako Ina ukakasi...ukuilinganisha na suala la mwanadamu kujua kuwa ipo siku atakufa.
Tunajua tutakufa kwa sababu tunaona watu wakifa.
Mapacha waliotungwa mimba, na kujikuta ndani ya mji wa uzazi, wana habari gani kuhusu kuzaliwa? Wanajuaje kama wao ndio mimba ya kwanza au ya pili? Wanaexperience gani ya kuwafanya wapate kujadili afterbirth?
Labda nimekuwa too literal.....huenda pengine ni tafakuri tu kama tafakuri nyingine kuhusu maisha.
Mungu yupo mahala popote.
Hadithi iliyopokelewa na Ibn Jarud, Imam Al Bayhaqii na Bukhari Mtume anasema: "Kana llahu walam ghayrahu shay'aa"
Yaani; alikuwepo Mungu pasipo chochote kuwepo. Kwa maana pasipo Mbingu, Arshi, na kila chochote kuwepo alikuwepo.
Katika msingi wa sheria ya Kiislamu Mungu habadiliki! kama alivyokuwa ndivyo alivyo. Kwa maana; hatuwezi kusema kabla ya Mungu kuanza kuumba haimaanishi kuwa hakuwa na uwezo wa kuumba na alivyoupata ndivyo akaanza kuumba. Msingi wa sheria ya Kiislamu unakataa, unasema Mungu kama alivyokuwa ndivyo alivyo(Tazama aqida katika kitabu cha Imam Tahawi).
Ikiwa hiyo ndiyo hali, kipi kimemfanya abadilike? Yaani; alikuwepo kabla ya chochote na kisha baada ya kuumba akawa juu ya Arshi kama unavyosema. HAYA NI MABADILIKO! Ikiwa hiyo ndiyo hali basi msingi wa sheria ya Kiislamu si sahihi kwani utakuwa umeongopa kwa kusema Mungu habadiliki.
"Kana llahu walam ghayrahu shay aa"
"Kana llahu wala qablahu shay aa"
-Alikuwepo Mungu pasipo chochote kuwepo.
-Alikiwepo Mungu kabla ya chochote kuwepo.
Ni hadithi za Mtume.
Kisha baada ya kuumba thumma stawaa al arshi. Kwa hili ukasema Mungu yupo juu ya Arshi.
-Tunafafanuaje hapa?
Ufafanuzi ni kuwa kuna hali mbili: (1)Pasipo/kabla ya chochote
Kwa maana uwepo wake haukutegemea chochote.
(2) Yupo juu ya Arshi
Kutoka katika pasipo au kabla ya chochote mpaka kuwa juu ya chochote ambacho ni Arshi: Haya ni mazingira au hali mbili tofauti. Pengine tuseme "walam ghayrahu shay aa na kqbla huu shay aa tuipe herufi A. Na juu ya Arshi tuipe herufi B. Hivyo, Mungu alikuwa herufi A kisha akawa herufi B. Huko ni kubadilika.
Tuje kwenye msingi wa sheria ya Kisslamu kuwa Mungu habadiliki. Tukikusanya hadithi za Mtume na maneno yako wewe yanaonyesha Mungu yupo herufi B baada ya kutoka herufi A. Swali linakuja; Haya kwako unayaitaje?
Unachokifanya ni ujanja wa kujificha kwenye kivuli cha dokezo la kudokoa hapa na pale aina fulani ya maneno kwa kuvisha vazi la ujuzi ili ionekane kuna kitu unajaribu kukiweka sawa kwa kuonesha kuna kitu kipo wrong. Brother, huo mwenendo si mzuri na Mimi si aina ya watu ambao wa kuwachezea mchezo huo.
Maadamu haya masuala ni ya kisomi na yana dalili maneno pekee hayatoshi, inabidi yafungamane na ushahidi.
Kabla ya kunijia mimi na kuyasema niliyoyaweka ni uzushi au uongo au chochote kitakachothibiti kwa tafsiri ya namna hizo inakubidi kwanza uje na ushahidi madhubuti juu yangu.
Nimekupatia ushahidi wa vitabu, hujavisoma na unakuja kukanusha na kusema nina andika uongo. Nimekupatia Juzuu na kurasa zake unadai nimekopi sijasoma. Lakini wewe hauji na ushahidi unakuja na maneno matupu!
Uislamu haumruhusu mtu kuingia kwenye masuala yoyote bila ushahidi na haumruhusu kutoka kwenye masuala yoyote bila ushahidi.
Kikubwa fahmu kuwa hatafutwi bingwa wale aliye mjuzi zaidi. Unaotafutwa ni usahihi. Ukirudi nitag kwa herufi kubwa Hammaz inshallah nitafika.
Ukija njoo na ushahidi.
Kwanza kabisa tangu uanze kujadili hili hujaweka ushahidi hata mmoja, zaidi ya kauli za wanazuoni tena kwa kuwaelewa vibaya. Mimi nimekuwekea aya ambayo iko wazi kabisa inayosema Allah amestawi juu ya Arshi yake, wewe unasema Imam Qurtubiy amekataa hilo, bila kuelezea yeye ameegemea wapi ?Unachokifanya ni ujanja wa kujificha kwenye kivuli cha dokezo la kudokoa hapa na pale aina fulani ya maneno kwa kuvisha vazi la ujuzi ili ionekane kuna kitu unajaribu kukiweka sawa kwa kuonesha kuna kitu kipo wrong. Brother, huo mwenendo si mzuri na Mimi si aina ya watu ambao wa kuwachezea mchezo huo.
Maadamu haya masuala ni ya kisomi na yana dalili maneno pekee hayatoshi, inabidi yafungamane na ushahidi.
Kabla ya kunijia mimi na kuyasema niliyoyaweka ni uzushi au uongo au chochote kitakachothibiti kwa tafsiri ya namna hizo inakubidi kwanza uje na ushahidi madhubuti juu yangu.
Nimekupatia ushahidi wa vitabu, hujavisoma na unakuja kukanusha na kusema nina andika uongo. Nimekupatia Juzuu na kurasa zake unadai nimekopi sijasoma. Lakini wewe hauji na ushahidi unakuja na maneno matupu!
Uislamu haumruhusu mtu kuingia kwenye masuala yoyote bila ushahidi na haumruhusu kutoka kwenye masuala yoyote bila ushahidi.
Kikubwa fahmu kuwa hatafutwi bingwa wale aliye mjuzi zaidi. Unaotafutwa ni usahihi. Ukirudi nitag kwa herufi kubwa Hammaz inshallah nitafika.
Ukija njoo na ushahidi.
Siyo tu kipo mimi ninacho hard copy, sherehe maarufu iitwayo "Sharhu aqidat st-Twahawiyah" sherehe ya Imam Abul 'Izz al Hanafiy mwenye kitabu Al-Urjuzat al-Miiyah fiy dhikri haali ashrafu al-Baariyah".Hiki kitabu kipo ukihitaji tukipitie tutakipitia hapa hapa na hakuna shaka Mkuu ni kuelimishana tuu!
Kwenye dini kuna kitu kinaitwa Isnaad. Utasikia miongoni mwa watu wanasema wanafuata Quran na Sunnah! Anafungua Quran mwenyewe na kuisoma. Anafungua hadithi na kuisoma, na ili ajue kinachozungumziwa ni kipi anatafuta translation ya Quran au hadithi na kilichofanyika ni ukalimani wa kutoka lugha ya kiarabu kuja kwenye lugha ambayo anayoielewa.Kwanza kabisa tangu uanze kujadili hili hujaweka ushahidi hata mmoja, zaidi ya kauli za wanazuoni tena kwa kuwaelewa vibaya. Mimi nimekuwekea aya ambayo iko wazi kabisa inayosema Allah amestawi juu ya Arshi yake, wewe unasema Imam Qurtubiy amekataa hilo, bila kuelezea yeye ameegemea wapi ?
Hili liko wazi na linajulikana. Sasa hiyo aya inayosema Allah baada ya kuumba mbingu na ardhi akastawi juu ya Arshi yake, kisichoeleweka hapo ni nini ? Yaani kabla hujaenda kwa Wanachuoni aya inamaanisha nini ? Aya iko wazi.Kwenye dini kuna kitu kinaitwa Isnaad. Utasikia miongoni mwa watu wanasema wanafuata Quran na Sunnah! Anafungua Quran mwenyewe na kuisoma. Anafungua hadithi na kuisoma, na ili ajue kinachozungumziwa ni kipi anatafuta translation ya Quran au hadithi na kilichofanyika ni ukalimani wa kutoka lugha ya kiarabu kuja kwenye lugha ambayo anayoielewa.
Sasa ulitakiwa kwanza ulete maana ya hiyo aya toka kwa Swahaba je wanaifasiri vipi hiyo aya. Lakini hili huna, hakuna Imam wa Ahlul Sunnal, wenye kuelewa hiyo aya kama unavyosema wewe, hakuna si Imam Shaafi wala Ibn Kathiir.Vipi kama wale walioishi karne 3 bora zilizopita wasingewafuata wanawachuoni ingelikuwaje kama kila mtu angelisema nafuata Quran na Sunna kwa kutohoa aya na kwa kusema ewaaa! Aya imelisema hivi basi ndio ipo hivyo! Jawabu ni kuwa watu wangelisema chochote wanachokitaka lakini ni nani angelihakiki kwa kusema hiki kilichozungumzwa ni sahihi? Ni wanawazuoni pekee, na hii ni kwa sababu kuna Isnaad: Kama Imam Shafii kasoma kwa Imam Malik, Malik kasoma kwa Ibn Maula, Ibn Maula kwa Abdallah ibn Umar ambaye ni sahaba ambaye kasoma kwa Mtume. Kwa hili Mtume akasema; Wanawazuoni ni warithi wa Mitume.
Hili siyo lazima sana sababu aya ziko wazi kama vile Mola wetu ni mmoja au hajazaa wala hajazaliwa au amestawi juu ya Arshi yake.Quran huwezi kuielewa inasema nini kama hujapatiwa fafanuzi kutoka kwa wanawazuoni na hadithi hauwezi kuielewa inasema nini kama haujapata fafanuzi kutoka kwa wanawazuoni. Ikiwa kama utabeba maneno ya Quran na hadithi literally kuwa makini kuna baadhi ya aya zinazungumzia mapambano zitazame nyayo zako usijeukaangukia kwenye úgaidi. Na ikiwa utakataa maneno ya wanawazuoni tambua útakuwa miongoni mwa watakaokuwa majangani.
Nimeshakuambia na nairejea tena haya hayatakusaidia! Mimi sihimiliwi kwenye hoja kwa mfano wa unayoyafanya. Aliyesoma vitabu iwezo wake unakwenda sambamba na hoja anazozitoa uwiano wake upo kwa kiasi gani! Ukiwa uwiano ni mashariki na magharibi jawabu lipo wazi ya kuwa mhusika anajaribu kututumua misuli. Mimi sishindani na wala si kuonekana mjuzi Jf. Nitakusanya ninachokijua hatua hatua ushahidi kwa ushahidi pindi nitakapopata muda inshaallah ili kukupatia.Siyo tu kipo mimi ninacho hard copy, sherehe maarufu iitwayo "Sharhu aqidat st-Twahawiyah" sherehe ya Imam Abul 'Izz al Hanafiy mwenye kitabu Al-Urjuzat al-Miiyah fiy dhikri haali ashrafu al-Baariyah".
Kwahiyo cha msingi ni kusoma kilichomo, wewe utaniambia unayo matini au na Sherehe ?
Naona Mzee unaleta ligi!Sasa ulitakiwa kwanza ulete maana ya hiyo aya toka kwa Swahaba je wanaifasiri vipi hiyo aya. Lakini hili huna, hakuna Imam wa Ahlul Sunnal, wenye kuelewa hiyo aya kama unavyosema wewe, hakuna si Imam Shaafi wala Ibn Kathiir.
Jina la mwalimu wa Imam Maalik siyo Maula sahini ni Nafi hilo Mawla siyo jina lake bali alikuwa ni mtumwa wa swahaba Ibn Umar.
Upo wapi ushahidi?Ukitaka ufafanuzi sasa ndiyo unarudi kwa Maswahaba kwanza, hawa wali muona Mtume na Mtume aliwafasiria Qur'aan, sasa tutaka tujue je Maswahaba walielewa vipi hiyo aya au Maswahaba wanasema Allah hayupo juu ya Arshi ? Jibu ni kinyume wanakubali Allah yuko juu ya Arshi. Maimamu wote wanne wanakubali Allah yuko juu ya Arshi, lakini wao husema ya kuwa ukiona kauli zao zinapingana na maneno ya Mtume basi acheni kauli zao na mfate nususi. Hii ndiyo itikadi yetu sisi Waislamu.
Kuwa na mipaka!Sasa ulitakiwa kwanza ulete maana ya hiyo aya toka kwa Swahaba je wanaifasiri vipi hiyo aya. Lakini hili huna, hakuna Imam wa Ahlul Sunnal, wenye kuelewa hiyo aya kama unavyosema wewe, hakuna si Imam Shaafi wala Ibn Kathiir.
Jina la mwalimu wa Imam Maalik siyo Maula sahini ni Nafi hilo Mawla siyo jina lake bali alikuwa ni mtumwa wa swahaba Ibn Umar.