Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

Nijuacho ni kuwa kuna watu walitaka choma kkt yombo ila ikashindikana
 
narudiaaaaaaaaaaaa tenaaaaaaaaaaa jaman islamic tatizo si wakristo lien waliowanyima shuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ileleeeee ajira aziji kwa elimu....
 
kanisa jingine limechomwa moto uko yombo sasa ivi source Waporadio Mungu azidi kunipa moyo wa chuma

Saa ya wakristo bado, ikifika sijui watatokea wapi!!....yangu macho, nasubiri Tamko la Maaskofu, liwe la kulipiza kisasi au la msamaha.
 
"Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.
 
Sasa hapo ukitaka uone nini maana ya amani na kwa nini tanzania ilionewa wivu na nchi jirani, wakristo walipize kisasi. Amani kwa kipindi hiki inalindwa na wakristo na waislamu wachache wenye moyo wa upendo na taifa letu, vinginevyo tanzania itakuwa historia?
 
Kwanini wasikimbillie kuchoma Ikulu ili dhaifu ashituke na kuona umuhimu wa kuwashughulikia hawa Waislam?
 
Inawezekana kabisa wanayachoma wenyewe ili kuzidisha chuki baina ya waislam na Serikali yenu na vile wapate fidia kutokana na uchomaji huo.

janja ya nyani ...
 
Nafikiri wakati wakulinda makanisa usiku na mchana umefika tena walinzi wawe na silaha zote ,hatuwezi kuendelea kulea hii tabia hivi hivi....
 
Its about time jeshi la police wawe active kuwacontain hawa watu otherwise .....
 
Kama ni kweli basi kuna jambo kama sio kuwa mnayachoma wenyewe ili kudhoofisha serikali ya Kikwete ionekane dhaifu au kupeleka mnayoyataka imekula kwenu Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua. Haiwezekani watu wachome makanisa mbagala then ikisha wakachome Kigoma halafu sasa Yombo. I smell something fishing is going on. Time will tell. Ikiwa kama kweli ndugu zetu mna lengo hilo basi mnachochea moto mkubwa time will.
 
mungu tunusuru na huyu ibilisi anayetaka kutuvuruga watanzania. Tumeishi kwa amani watu wa dini tofauti kwa miaka mingi. Tunajua shetani ameshindwa kwa jina la yesu na alichokusudia kukifanya hakitafanikiwa. Tuendelee kumwomba mungu ili hatimaye majaribu haya yaliyotukuta tuyashinde. Amen
 
Back
Top Bottom