Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

Hii thread page ya 15 sasa hata Mods wameshindwa kuongeza nyama kidogo!
 
koment kama ya Barubaru inaweza ikakufanya upate ban..kama wanayachoma wenyewe wale waislam waliokamatwa na laptop walizipataje? Ama wakristo waliziiba na kuwapelekea waislam
 
Last edited by a moderator:
Mbona hamkuuliza lucifer alivyomtunuku msela wenu digrii ya udaktar? Alikuwa amemfanyia nn? Ataendelea kumfanyia nn? Amkeni
 
nashukuru mzungu alipokuja kututawala alijenga shule ili tuelimike, akajenga kanisa ili tuabudu akamalizia na hospital tukiumwa tukatibiwe. alitumia hekima sana kutupa elimu mana tumeweza kujitambua, na kuyashika maandiko.
 
these guys are totaly out of their minds.ukristo unawazuia nini? au tunawapa hasara gani???????????? kama umaskini wanautaka wenyewe kwa kuoa wanawake saba na kuzaa watoto bila kujua wataishi vipi.kuchoma makanisa kutawasaidia kutatua matatizo yao au ni wendawazimu tuu???????????????
wewe unafahamu ndoto ya nabii Daniel aliyoota katika mwaka wa kwanza wa konselvo toka kuzaliwa belteshadha mfalme?
 
Hawa jamaa(baaz waislam njaa) uku mtaan wanajisifu wakristo 2nawaogopa ivi ni njaa za vurugu ili waibe au wako serious wanataka mkono.,2kianza wakristo hatutaki refa....
ujue kuna baadhi ya watu wamejichokea maisha,sasa hawa hupenda migogoro kila mara ili wapate sababu.sasa kama wewe unafikiri vyema,dawa ya mtu kama huyu ni kumkwepa.hujawahi hata kukutana na mtu njiani ukashangaa anakazana kukubana wakati njia pana?lengo ni ili ukasirike ummaindi halafu muingie kwenye mgogoro.watu kama hawa wakwepe hata wakisema wewe mwoga.
 
Kikwete kakaa kimya anafurahia wanachokifanya wenzake
wewe inaonekana haufuatilii taarifa vya kutosha!sio kweli kwamba kakaa kimia kama unavyosema.juzi wakati anazima mwenge shinyanga alikemea sana mabo haya na kuhamasisha utulivu na kuheshimiana kisha kuahidi kwamba serikali itawashughulikia kwa mujibu wa sheria wote wanaofanya uchochezi.na kiutekelezaji wamekamatwa wamepelekwa mahakamani.sasa wewe ulitaka rais afanye je tena!
 
UPDATE: Imeripotiwa katika vyombo vya habari kwa njia ya sauti (DW Ujerumani) pamoja na video (Capital Tv Tz) kuwa ulitokea uporaji katika kanisa jingine la Kiinjili la Yombo lililopo eneo la Buza ambapo vyombo vya muziki vilichomwa moto na kusababisha hasara ya jumla ya shilingi milioni 5.8.

--------------------------

Taarifa ziliripotiwa mapema leo kuwa lilikuwepo jaribio la kutaka kuchoma moto jengo la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Yombo Vituka, Temeke Dar es Salaam, jaribio ambalo halikufanikiwa ilivyokusudiwa.

Taarifa ya mmoja wa watu waliopepeleza ukweli wa taarifa hizo inasema,

"Nimeongea kwa simu na ndugu yangu anayeishi huko Yombo, kanisa lililochomwa ni KKKT ambalo huyo ndugu yangu anaabudu. Ila nasikia hawakufanikiwa kuchoma maana walipata upinzani toka kwa walinzi wawili wa kanisa, mmoja aligonga kengele kwa haraka watu wakaanza kukusanyika hivyo wale wahujumu wakakimbia. Ila nasikitika kwakuwa hawakukamatwa."
 
Na sisi tuanze nini!? nakumbuka enzi zetu Tambaza unajaza petrol kwenye chupa ya bia afu unaweka utambi na sukari afu kitu kwa mbali!
 
Back
Top Bottom