miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
shetani ni nani? ujanijibu kwa nini imani za kiafrika mnaziita za kishetani?Mungu siyo shetani ila kuna watu wana matendo kama ya shetani.
shetani ni nani? ujanijibu kwa nini imani za kiafrika mnaziita za kishetani?Mungu siyo shetani ila kuna watu wana matendo kama ya shetani.
Kwahiyo unataka kusema Mungu wao hana nguvu hadi asaidiwe na wanadamu.Maana hapa kuna Mungu wa Wachagga kavunjwa na binti mdogo sijui kama angetoka mtu kama John Cena ingekuwa vipi.
shetani ni nani? ujanijibu kwa nini imani za kiafrika mnaziita za kishetani?
wapo wengi tu ndiyo maana tunatambika...... mkuu muache kudharau Mungu wa mwenzenu binti kamvunja Mungu wa oldi moshi kama mkimuona huyo binti mpelekeni.. acheni itikadi
basi sawa msiwe mnalinganisha imani as long as haiumizi jamiishetani ni mpinga mazuri
ukimwona tea nipigie simu nimpeleke wanipe hela aisee.. najua wengi hamtaki hela za mungu wetu wa asili .. mantaka za mungu wa wazungu na waarabujana kuna sehemu nilimwona sikujua kama anatafutwa
ukimwona tea nipigie simu nimpeleke wanipe hela aisee.. najua wengi hamtaki hela za mungu wetu wa asili .. mantaka za mungu wa wazungu na waarabu
watamfanyia mila na ibada Mungu atarudipoa ukishampeleka atawarudishia huyo Mungu .
Sijaelewa huyo mungu wenu alikuwa wa shaba, mti au mabox mwepesi kiasi cha kuvunjwa na binti Upendo?
Halafu nyie wachagga si mnaamini katika nguvu za jani la SAALE kwanini lisingefanikisha kumtia upofu au kumrudisha Upendo? na mnamtafuta upendo ili iweje? mumuue au? polisi nao wameingia mkenge kutoa rb kwa kitu cha kufikirika?! hii kesi itaamliwa kupitia mahakama ya kichagga/kadhi au jamhuri?
cc miss chagga Asprin etc
lazima watakuwa wanamjua huyo Mungu ., ukipeleka taasisi yeyote eneo lolote lazima usjue jamii ile unayoiongoza inafanya nini? na si kuamisha imani zako kwenye jamii ingine.... mkuu bila kufanya jambo lolote lazima ujue ile jamii ni ya aina gani?Na kweli kituo cha Polisi wakaandikia RB ili atafutwa ?
Je huyo Mungu wao wamemwandikisha ? Yaani Kama wakristo na Waisilamu wanavyoabudu na kuwa Wameandikishwa kama taasisi za Imani.
Huyo Mungu na hiyo Jamii inayomwamini na kuabudu lazima kwanza wawe wamesajiliwa na Polisi kuona Usajili ndiyo wafikie hatua hiyo ya kuandika RB !
nyie kama mkimuona mkamateni mpelekeni huko moshi
ni mungu wao bana acha kukejeliMungu au sanamu ndiyo inayovunjika?
ni mungu wao bana acha kukejeli