Mungu wa Makonda yu wapi?

hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?

jaji mfawidhi, Wakatoliki hawamwabudu Mama Bikira Maria ila wanamuheshimu(venerate her and not adore) so if you don't know the difference between adore(worship) and venerate then consult your Imam or any professor of Islamic affairs(sharia law) usiende kwa hao wenye fikra za Daesh/ISIS watakupotosha.
 
Muda mwingine hasira zinazidi. Nitajitahidi kufanya hivyo. Asante kwa shauri jema! UBARIKIWE
Asante ndio nini nenda kwanza kaungame kisha sema Asante Yesu kwa Neema ya Msamaha ambayo hukuistahili bali ulistahili Hukumu..
 
jaji mfawidhi, Wakatoliki hawamwabudu Mama Bikira Maria ila wanamuheshimu(venerate her and not adore) so if you don't know the difference between adore(worship) and venerate then consult your Imam or any professor of Islamic affairs(sharia law) usiende kwa hao wenye fikra za Daesh/ISIS watakupotosha.
Mungu Mwenyezi Amemuheshimu huyu Mama itakuwa hawa viumbe dhaifu mbugila mbugila..
 
hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
MUNGU wa makonda yuko Mbinguni
 
Vyeti
 
Yeye ni kiongozi na serikali haina dini hivyo dini yoyote inaweza kumuombea kiongozi wao
 
Asante ndio nini nenda kwanza kaungame kisha sema Asante Yesu kwa Neema ya Msamaha ambayo hukuistahili bali ulistahili Hukumu..
Kumbe hunijui, I do not believer in the existence of the so called God! Oh kumbe hunijui! Naweza nikafuta all what I have confessed! and maintain the status quo!
 
nikujue wee nani heri nijue ugali mboga iwe ubwabwa nitashiba...kulikuwa na watu wenye kiburi cha uzima we we chamtoto..kama hujui umuhimu wa makalio kalia kichwa...
 
Yeye mwenyewe si alijiita mungu.....!!!!

Hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es Salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Je Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?

Nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah, Mtume Muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?

Je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
 
Mtahangaika sana.
 
Bila kumuongelea Makonda ni kama hamuwezi kula. Kweli amewaweza wengi

Hapa kazi tu
Hahahaha amemuweza nani...leo uko kwa mashehe kesho kwa maaskofu keshokutwa i bet hatujui labda kwa waganga ...mara.nmetupiwa majini aahhahaha.kwani mental disorders hua zinaanzaje...kila mahal anapogusa panateleeza..eti katuweza ...hahaha

Hapa vyeti feki tu
 
ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom