Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,380
HahahahahahahaMimi sijakataa wao wasipewe sadaka Mkuu. Ninachokataa ni wao kusema Mungu ndiye anataka sadaka tena wameenda mbali zaidi kwa kusema fungu la kum(9zaka) ni la Mungu jambo ambalo si kweli. Tunajua umuhimu wa huduma yao lakini isiwe sababu ya wao kumsingizia Mungu eti anahitaji zaka. Tena ni lazima.