Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu wa Israel ni mkuu

Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
vp mungu wa charambe,huko kwenu bado anapumua kweli!!!
 
MUNGU WANGU NI MKUU AISEE MAANA NILIYO PITIA MPAKA HAPA NILIPO ASHUKULIWE KWELI
 
Vita ya Israel na Iran Ina uhu siano gani na Palestina ambayo siyo nchi na haitakuwa nchi?
Umesema Iran inataka kuifuta Israel na ndio nimesema hata Israel inataka kuifuta palestina ili iwe nchi moja tu!!
Iran ilishatangaza kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia hapo tu hamstahili kuwa na zana za Nuclear huwezi kumkabidhi rungu kichaa
Mbona North Korea inataka kuifuta South na huko mabeberu hawajaenda kuivamia? Same to Russia inataka kupora majimbo yote ya Ukraine yawe sehemu ya Russia ila sijaona mkienda lipua vinu vyao vya nuclear.

Huu unafiki ni kwa faida ya nani?
 
Umesema Iran inataka kuifuta Israel na ndio nimesema hata Israel inataka kuifuta palestina ili iwe nchi moja tu!!
Nani alikudanganya kuwa Palestina na nchi?
Mbona North Korea inataka kuifuta South na huko mabeberu hawajaenda kuivamia? Same to Russia inataka kupora majimbo yote ya Ukraine yawe sehemu ya Russia ila sijaona mkienda lipua vinu vyao vya nuclear.
Mimi si Jasi Kia akitangaza hadharan kama anafanya Mwehu Iran kila kukicha anasema ataifuta Israe sasa viongozi wake watafutika kabla Israel haijafutika!!!!
 
Mungu wa Israel wapi wakati hiyo Bible wamejitungia wenyewe wakajipakulia minyama🤣🤣🤣
Kwanza aliye tunga bibilia alikuwa Zionist alitumia jina la Yakobo wakati Mungu anamwambia Yakobo atakaye kudhuru nitamdhuru wakanisa wakaileta hio kama ni taifa wakati hizo bibilia zimeandikwa kulikuwa hakuna hata taifa linaitwa Israel. Paulo alisha juwa wana plan ya kutengeneza siku mbele taifa linaitwa Israel akavuta mstari wa injili unao sema atakae mdhuru Yakobo ambaye pia alitwa jina lingine Israel.

Achana naye sisi tunafurahi sana kuona Israel wanapokea kichapo

Iran anadema tumewauwa macommander wengi ssna wa Israel

View: https://youtu.be/mdUwb6-p4Wg?si=8I3Q5Yr_o2sonRO1
 
I
Isaya 54:17 Kila silaha itakayofanyika juu ya Israel haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA.
No weapon that is formed against thee shall prosper;
 
Kama kweli hilo ni taifa teule na linapendwa na Mungu basi waambie wasikimbie makombora ya Iran wala wasijifiche kwenye mahandaki ili warudi kwa Mungu anaye wapenda.
 
Israel inapewa msaada wa matrillion kila mwaka na USA so bajeti ya jeshi lake ni juu sana. Pia hakuna shambulizi kafanya bila support ya US na UK na Hao EU members wengine, so hii vita haijawahi kuwa ya Israel pekee kama mnavyopotosha humu.
Siyo kupewa msaada,wanamiliki mfumo wa kibenki kuweza kutakatisha pesa katika masoko ya siraha.
 
Huyu naye mchambuzi kamaliza eti chuo kikuu.🤔🤔
 
Mnaaibisha ukristo.Mungu gani anaua watu wasio na hatia!.Yaani anachofanya israel katumwa na Mungu?.Wakristo kama vile akili zetu ni pungufu.
Israel amechukua hatua muhimu kujilinda kama nchi. Hiyo ya kuuwa watu wasiokua na hatia ni matokeo ya vita, kwenye vita siku zote wanakufa watu. Wawe na hatia ama hawana hatia.
Mbona hata Israel nao wamepoteza maelfu ya watu tangu shambulizi la Oct 7 2023?!
 
Untitled (1).png
 
Punguza propaganda juzi kuna mtanzania anaeishi isràel alihojiwa akasema wamezuiwa kurecord video zinazoonesha uharibifu uliofanywa na iran,kwa kifupi kila nchi imepata hasara na israel bilà msaada wa marekanì hali ingekua tete

Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
 
Punguza propaganda juzi kuna mtanzania anaeishi isràel alihojiwa akasema wamezuiwa kurecord video zinazoonesha uharibifu uliofanywa na iran,kwa kifupi kila nchi imepata hasara na israel bilà msaada wa marekanì hali ingekua tete
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
 
Nani alikudanganya kuwa Palestina na nchi?

Mimi si Jasi Kia akitangaza hadharan kama anafanya Mwehu Iran kila kukicha anasema ataifuta Israe sasa viongozi wake watafutika kabla Israel haijafutika!!!!
Umewahi kusikia CCM ikisema itaifuta chadema, ila matendo yao yanaonyesha wanataka kuifuta!!! Let's be real.
 
Back
Top Bottom