Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu ambaye anashindwa kuzuia makombora ya Iran yasitue kwenye ardhi ya taifa lake, Ni Mungu mchovu, dhaifu na goigoi sana.

Mungu huyo amelala usingizi wa pono na hana msaada wowote kwa taifa lake.

Kama sio Marekani kuisaidia Israel, Hicho kitaifa uchwara Israel cha Mungu uchwara kingeshafutiliwa mbali kitambo sana.
 
Ushuzi mtupu umeandika hapa
 
Mungu ni Mungu wa Mataifa yote! Hana upendeleo wo wote!
Tena Mungu wetu ni Mungu wa Amani siyo Mungu wa Machafuko,(1Wakor.12:34)
Mungu ni Mungu mwenye nguvu,hawezi kupigana na mwanadamu hata kwa sekunde moja.
Mungu alichotupa ni Akili na Maarifa ya kupambana na mazingira magumu yanayotuzunguka.
Israel wanafanikiwa kwa sababu wanatumia akili na maarifa aliyotupa Mungu kufanikisha mambo yao! Harafu wanajiamini.
 
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Mnaaibisha ukristo.Mungu gani anaua watu wasio na hatia!.Yaani anachofanya israel katumwa na Mungu?.Wakristo kama vile akili zetu ni pungufu.
 
Mungu hawezi kuwa na Taifa la mashoga
 
Attachments

  • Screenshot_20250617-104708.jpg
    Screenshot_20250617-104708.jpg
    244.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20250617-104632.jpg
    Screenshot_20250617-104632.jpg
    309.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20250617-104550.jpg
    Screenshot_20250617-104550.jpg
    323.1 KB · Views: 5
Yes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.

Of course Israel ina support magaidi wa Sudan yaani RSF, Kurds kule Syria na Turkey, na hata vilimsaidia HTS kupindua serikali ya Assad huku wakijua ni Tawi la Al Qaeda. Kwahiyo tuache unafiki, vinaitwa vikundi vya ugaidi pale tu vikifadhiliwa na Iran ila vinaitwa vyama vya ukombozi vikifadhiliwa na Israel!!!

Oooh Israel akiwa na nuclear huoni ni tishio kwa nchi za kiarabu maana zikimvamia si analipua nchi zote hizo za middle east zinayeyuka!! Ila wakitengeneza Iran ndio wanageuka tishio? Hivi nani anayeamua nani ana haki ya kuwa na nuclear na nani hana? Mbona Pakistan ilikua ikimtunza Osama miaka yote na kuna Taliban kule ila kwa kuwa ni marafiki wa USA na Israel basi wana haki ya kuwa na nuclear, ila siku wakikosana wanageuka magaidi!!

Oooh kamtoa Assad alafu kaiweka tawi la Al Qaeda!!!? Ndio mafanikio gani hayo? Then huwezi jisifia kupambana na vikundi vya kigaidi ambavyo hata ndege havina. Ni nchi gani kabisa lenye jeshi wamepigana kama hivi Russia na Ukraine alafu Israel amempiga in recent years?

Hao houthi, Hezbollah, Hamas n.k wote hao amepigana nao kwa ushirikiano wa USA na UK and France hakuna vita hapo kapigana mwenyewe. Hata rocket za Iran zinakua intercepted na nchi zaidi ya 5!! Ila sio Iran vs Israel moja kwa moja, hivi unadhani Russia au China akiingia upande wa Iran itakuaje?
Una utoto mwingi sana. Vita ni vita tu
 
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Sio Mungu wa israeli ni Mungu yrump ndio inaiwezesha israeli huo uwezo wa kupiga irani,kuwapiga wapalestina
 
Porojo nyingi hakuna cha maana.

Mungu wa Israel ni bwana wake wa ndoa USA na mahawara zake Ulaya nzima.

Israel bila hao ni mweupe zaidi ya Burundi.

Hizo zingine ni blah blah na propaganda za mashog, a tu.
 
Back
Top Bottom