Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu muuaji lakini bado anasifiwa.

Hivi mkuu ungekua unaishi Israeli kwasasa ungekua umeandika huu uzi - watu wanahofu ya kifo we unaleta vitu vya kijinga.

Ama kweli ujinga utabakia kuwa janga la Taifa.
 
Kama kweli hilo ni taifa teule na linapendwa na Mungu basi waambie wasikimbie makombora ya Iran wala wasijifiche kwenye mahandaki ili warudi kwa Mungu anaye wapenda.
Akili ya kipumbavu kabisa ulishawahi kuvuka barabara yenye magari mengi harafu ukafunga macho?? Acha ujinga wako
 
Ndio maana nasema sifa asipewe Israel maana anapigana kwa support ya nchi 5 huku Iran ni kama yatima.

Ila ingekua Iran vs Israel wenyewe tu hapo ndio tungeona uhalisia wa vita. Ni sawa na Ukraine ijisifie kumpiga Urusi ilihali mataifa zaidi ya 9 yameweka nguvu pale!!
Ujinga mtupu Russia mwenyewe anasaidiwa na Iran,China,Korea ya kiduku na Afrika kusini Iweje sasa Ukraine na Israel iwe dhambi..???
 
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Acheni Mungu aitwe Mungu ila msimuhusishe kwenye hayo yanayoendelea kufanywa na Israel, tulishatoka huko kwenye historia za kibiblia mambo ya kwamba Israel ni taifa teule la Mungu tumeyachoka, na mnawapa viburi kwa hii misemo thats why wanaweza kufanya lolotte na mkaja kusifu kwamba ni ukuu wa Mungu. Mungu gani? kuangamiza watu wasio na hatia?. Binafsi siungi mkono
 
Kwahiyo Israel wana Mungu wao peke yao. Okay
Hawa wakanisa wengi wao wamepigwa story za uwongo kwamba taifa la Israel hili la sasa ni kipenzi cha Mungu hahaha. Hawajui hapo huo mstari um3mkusudia ni Nabii Yakobo ambaye alitwa jina lingine linaitwa Israel, kwa sababu alikuwa mshika dini sana. Mwenye kusikiliza maneno ya Mungu na kusimamisha sana salaa. Hata huyu jamaa anawambia hayo hayo mimi kila siku hayo maneno nayo wambia wakanisa hebu msikilizeni.

View: https://youtube.com/shorts/j_uHL572sjQ?si=WPeLbHvcJz8IkzJm
 
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Raia waliokufa na wanaondelea kufa kwenye vita hii ndani ya nchi zote mbili, Mungu wao ni nani? Sio huyo huyo Mungu mmoja?
 
Back
Top Bottom