Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu wa Israel ni mkuu

Wamejitungia tena mkuu, kumbe katika kujitungia kuna nguvu ya kuamini utunzi?

Mbona sasa jamaa wanaonekana kutisha? Middle yote wanaichakaza watakavyo
Mbona hata dola za kiislam kama Ottoman zili dominate hadi kuiteka hiyo Israel ina maana Mungu wa Israel hakuwepo enzi hizo au unataka kusema Mungu wa waislam ni mkuu kuliko wa Israel?

Nachosema ni kwamba tusiingize udini kwenye machafuko, unaweza kuwa wa shetani na ukashinda vita.
 
Wale wote wenye macho ya rohoni ndiyo wanajua maana ya hii post....Iran wanejipa kazi isiyowezekana ya kuifuta Israel, hii haitakuja kutokea kamwe ni kujilisha upepo Tu
 
Mbona hata dola za kiislam kama Ottoman zili dominate hadi kuiteka hiyo Israel ina maana Mungu wa Israel hakuwepo enzi hizo au unataka kusema Mungu wa waislam ni mkuu kuliko wa Israel?

Nachosema ni kwamba tusiingize udini kwenye machafuko, unaweza kuwa wa shetani na ukashinda vita.
Udini kivipi mkuu

Unadhani hao wanaopigana hawamuombi Mungu wanayemwamini??
 
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Mungu wa Iran,ndio mkuu,uwekewe vikazo na Marekani,na bado Taifa la Iran,liko na nguvu ya kuwepo na kupigana,wakati Israel hana vikwazo vyovyote na qnasaidiwa na Marekekani na washirika wake.
 
Udini kivipi mkuu

Unadhani hao wanaopigana hawamuombi Mungu wanayemeamini??
Hivi kuna nchi zinafuata dini na maadili kama za Afrika ila mbona ni maskini na njaa? Ina maana hatuna Mungu?

Hao Israel si ndio wana support ushoga 100% je Mungu wao anapendezwa na taifa kuweka sheria za kuifanya Tel aviv kuwa makao makuu ya mashoga duniani? Inaitwa kabisa Gay Capital of the world!!

Vita ni vita tu mwenye silaha atashinda, awe muovu awe na Mungu atashinda tu. Ndio maana Hitler aliwachinja kama kuku wayahudi million 6 kwani Hitler alikua mtu wa dini?
 
Sio kwei, mpaka Jordan na Saudi zimeingia vitani na Iran. Hao US wametoa silaha kibao kama bunker busters!! Kwani kuna aibu gani kukiri Israel anasaidiwa
Siyo kweli. Wanaowachapa Iran ni wanawake wa Kiyahudi. Hizi nyingine ni porojo za kujifariji za siku zote miaka yote
 
Wapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.

As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.

Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
Mkuu, una hoja nzuri mno

Lakini, unachokuwa ukikisahau katika mwendelezo wa ahadi za Mungu kwa Ibrahimu, ni baraka za yeye na uzao wake

Yakobo ni Uzao wa Ibrahimu kwa tumbi la Sara kutoka kumzaa Isaka

Ishimael si mzaliwa wa tumbo la ahadi kwa sara, bali yeye ni mzaliwa wa Ibrahimu kweli kwa tumbo la mjakazi

Ahadi ya uzao wa baraka ni kupitia tumbo la sara mke halali wa ndoa kwa Ibrahimu
 
Wapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.

As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.

Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
Brother utunzi wao huoni kama unawalipa sasaivi ?inatembeza kichapo kwa kila asiye wabariki na kuwapa amani wambarikio
 
Wapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.

As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.

Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
Huu ndio ukweli
 
Hivi kuna nchi zinafuata dini na maadili kama za Afrika ila mbona ni maskini na njaa? Ina maana hatuna Mungu?
🤣🤣🤣

Kiongozi, huku kwetu ndo tunaye Mungu kweli kweli, tunaishi kwa haki ila hatujawahi kujishughurisha na huyo Mungu na ndiyo maana tuko hivi mkuu
 
Issue sio kuogopa nachosema Israel hashambulii Iran au Houthis au Hezbollah akiwa peke yake. Hata rockers za Iran zinalipuliwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo Jordan ila Iran anapigana mwenyewe. Sasa hapaswi kusifia Israel, asifie mme wake yaani USA maana ndio anatoa pesa, silaha na back up kwenye kila vamizi ya Israel.
Bro unachanganyanya maifali,
Ni kweli Israel haiko peke yake – inaungwa mkono na Marekani na washirika wake. Vivyo hivyo, Iran nayo si peke yake, ina uhusiano wa karibu na Russia, China na makundi kama Hezbollah.

Lakini katika siasa za kimataifa, hoja si nani ana msaada zaidi, bali ni taifa gani linafanya maamuzi kwa kuzingatia maslahi yake ya kiusalama na kiuchumi. Hata Iran haijazaliwa kuwa upande wa Marekani – wamechagua upande wanaoona unawanufaisha. Taifa makini huangalia maslahi, si ushabiki kama Iran inavyofanya.
 
Huyo baba wa mataifa ni mtu wa taifa lipi kati ya hayo?

Halafu ukumbuke, Mungu anaposema, anayekubariki nitambariki, na anayekulaani nitamlaani

Maana yake ni kuwa, hakuna baba wa mataifa kama Kusingekuwa na huyo Ibrahimu ndani ya Israel

Na siju zote baraka huanzia nyumbani na kisha kuenea sehemu sehemu

Hao unsowataja, wanamlaani Ibrahimu aliye asili ya Israel na myahudi, watabarikiwa vipi mkuu
Nani kakwaimbia hao ndio waisrael, wamejazana wa ukrain na warusi hapo
 
Israel inapewa msaada wa matrillion kila mwaka na USA so bajeti ya jeshi lake ni juu sana. Pia hakuna shambulizi kafanya bila support ya US na UK na Hao EU members wengine, so hii vita haijawahi kuwa ya Israel pekee kama mnavyopotosha humu.

Nini kinawazuia Washirika wa Iran kumpa Mabilioni mshirika wao??
 
Back
Top Bottom