Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,327
- 52,051
Allah mwenyewe namwonaga kama kituko fulani sawa tu na Elohim šKobazi ndiyo wewe uliyesema ulikua na bendera ya Israel mgetoni nimekubali unafiki ni kipaji
Allah mwenyewe namwonaga kama kituko fulani sawa tu na Elohim šKobazi ndiyo wewe uliyesema ulikua na bendera ya Israel mgetoni nimekubali unafiki ni kipaji
Hawa wakanisa wengi wao wamepigwa story za uwongo kwamba taifa la Israel hili la sasa ni kipenzi cha Mungu hahaha. Hawajui hapo huo mstari um3mkusudia ni Nabii Yakobo ambaye alitwa jina lingine linaitwa Israel, kwa sababu alikuwa mshika dini sana. Mwenye kusikiliza maneno ya Mungu na kusimamisha sana salaa. Hata huyu jamaa anawambia hayo hayo mimi kila siku hayo maneno nayo wambia wakanisa hebu msikilizeni.
View: https://youtube.com/shorts/j_uHL572sjQ?si=WPeLbHvcJz8IkzJm
Ukisema āAllahā hiko ni kiarabu kinachotafsiriwa kama āThe Godā. Kwahiyo wewe unamkashifu Mungu au bibilia inafundisha kila taifa au kila dini lina Mungu wakeAllah mwenyewe namwonaga kama kituko fulani sawa tu na Elohim š
Mimi sina Mungu ila mimiUkisema āAllahā hiko ni kiarabu kinachotafsiriwa kama āThe Godā. Kwahiyo wewe unamkashifu Mungu au bibilia inafundisha kila taifa au kila dini lina Mungu wake
Ushashiba vitumbua weweMimi sina Mungu ila mimi
Kenge.mmoja weweMimi sina Mungu ila mimi
Hasira zako za kukwama kimaisha usiniletee mimi mkuuKenge.mmoja wewe