Halafu huyo huyo alikuwa anaimba allah akbar akiwasapoti wakoloni wake kule Gaza,au allah sio mungu mbona alishindwa!?Ushuzi mtupu umeandika hapa
Halafu huyo huyo alikuwa anaimba allah akbar akiwasapoti wakoloni wake kule Gaza,au allah sio mungu mbona alishindwa!?Ushuzi mtupu umeandika hapa
Ustaadh acha mihemkoPorojo nyingi hakuna cha maana.
Mungu wa Israel ni bwana wake wa ndoa USA na mahawara zake Ulaya nzima.
Israel bila hao ni mweupe zaidi ya Burundi.
Hizo zingine ni blah blah na propaganda za mashog, a tu.
Huo mstari upo ,sijui unakataa niniNionyeshe huo mstari, nachojua hilo alisema kwa Abraham ambaye ni baba wa mataifa mengi sio Israel tu. Hata hao palestine sijui Iran ni offshoot ya Abraham!!
Unabisha ama unakubali kondoo mpakwa mafuta ya tak,o?Ustaadh acha mihemko
Acha utoto soma hapo taarifa za western media wakikiri uhusika wa Jordan, US kwenye kumsaidia Israel. Let alone UK nayo imetoa logistical support. Hao US Mpaka refuelling ya ndege vita wamefanya wao.Siyo kweli. Wanaowachapa Iran ni wanawake wa Kiyahudi. Hizi nyingine ni porojo za kujifariji za siku zote miaka yote
Si uweke hapa hata Google si unaweza upata. Issue ni kwamba aliambiwa Abraham sio wayahudi kama wayahudi, sasa Abraham ni baba wa wengi sio wayahudi tu maana ni wajukuu hao. Kumbuka nje ya isaka ana watoto watano wengine aliozaa na Keturah nao wana baraka za Abraham lakini sio wayahudi!!Huo mstari upo ,sijui unakataa nini
Ndio maana nasema sifa asipewe Israel maana anapigana kwa support ya nchi 5 huku Iran ni kama yatima.Nini kinawazuia Washirika wa Iran kumpa Mabilioni mshirika wao??
Kwani wapi Putin amejisifia kuwa yeye kama yeye ndio anampiga Ukraine?Hata Putin anasaidiwa na Iran.
Russia akitoa hypersonic missiles alizopiga kule Kyiv mbona Israel ingekua imeshapoteana. Na Israel hana ubavu wa kupambana na Russia ndio maana kule Syria hajagusa hata kambi moja ya Russia otherwise itafutwa siku hiyo hiyo kwenye ramani ya dunia.Hivi unadhani China na Russia hawajaingia indirect Iran kwamba zile drone za Iran kule Russia hazina return yoyote kwa Iran?
Sababu inajitegemea ila hao Israel mnaowasifia ni vita gani wamewqhi pigana bila ya waume zao USA? Si unaona hata trump amekataa wasimuue Ayatollah na wameufyata maana yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho sio Netanyahu.Kwa nn Iran haisaidiwi?
Acha uongo urusi na China zimesaidia nini hii vita? Hao hezbollah wanapewa silaha na Iran sio vice versa.Vivyo hivyo, Iran nayo si peke yake, ina uhusiano wa karibu na Russia, China na makundi kama Hezbollah.
Ushabiki gani? Mbona hao Israel wana support magaidi kama PKK, HTS, SDF na RSF ya Sudan ila hamsemi ni ushabiki? Ila Iran iki support waasi mnasema inafadhili ugaidi? Ni sahihi kweli?Taifa makini huangalia maslahi, si ushabiki kama Iran inavyofanya.
Utalinganisha Izrael vs Hezbollah na Ukraine vs Russia? Haupo seriousUna utoto mwingi sana. Vita ni vita tu
Kwani kipindi Hitler anachinja wayahudi million 6 hawakua na "Mungu wa Israel"? Au kipindi wanasambaratishwa na dola ya kirumi hawakuwa na Mungu?Brother utunzi wao huoni kama unawalipa sasaivi ?inatembeza kichapo kwa kila asiye wabariki na kuwapa amani wambarikio
Acha utoto soma hapo taarifa za western media wakikiri uhusika wa Jordan, US kwenye kumsaidia Israel. Let alone UK nayo imetoa logistical support. Hao US Mpaka refuelling ya ndege vita wamefanya wao.
![]()
Trump signals 'possible' US involvement in Iran conflict
Donald Trump said there would be "peace soon," while not ruling out US involvement in the conflict. Meanwhile, Iran launched a fresh ballistic missile offensive into Israel. DW has more.www.dw.com
Duuuh! Vituko haviishi duniani jf imevamiwa na kundi la watu wajingaUnadhani china na urusi wao hawagopi? Russia au china hawana uwezo wa ku battle na Israel ndio maana wanamkaushia Iran
Keshameshezwa ujinga. Hawa walokole hata kama maandiko yapo wazi atachoambiwa na mchungaji wake ndiyo hicho hicho.Nionyeshe huo mstari, nachojua hilo alisema kwa Abraham ambaye ni baba wa mataifa mengi sio Israel tu. Hata hao palestine sijui Iran ni offshoot ya Abraham!!
Vita ya Israel na Iran Ina uhu siano gani na Palestina ambayo siyo nchi na haitakuwa nchi?[Yes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.
Iran ilishatangaza kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia hapo tu hamstahili kuwa na zana za Nuclear huwezi kumkabidhi rungu kichaa!!Oooh Israel akiwa na nuclear huoni ni tishio kwa nchi za kiarabu maana zikimvamia si analipua nchi zote hizo za middle east zinayeyuka!! Ila wakitengeneza Iran ndio wanageuka tishio? Hivi nani anayeamua nani ana haki ya kuwa na nuclear na nani hana? Mbona Pakistan ilikua ikimtunza Osama miaka yote na kuna Taliban kule ila kwa kuwa ni marafiki wa USA na Israel basi wana haki ya kuwa na nuclear, ila siku wakikosana wanageuka magaidi!!
Ungejua kama huyo mungu mwenyewe unayemsifia hapa ni Marekani (Taifa la uovu duniani), nina uhakika kabisa usingekuja na hii risala yako ya kufikirika.Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.
Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.
Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.
Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.
Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.
Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.
Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.
Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.
Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.
Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.
ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
vp mungu wa charambe,huko kwenu bado anapumua kweli!!!Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.