Mungu tuepushe na hili balaa

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,609
4,097
Tulia anataka ubunge Mbeya mjini, Jimbo linaloshikiliwa na kijana mzalendo mwana Mbeya mwenzetu Sugu.

Sugu ni nani?
Nilianza kusikia Sugu/ 2Proud tangu nikiwa shule ya msingi Sisimba darasa la Saba mwaka 1993.

Nimeenda secondary 1994 - 1997, Bado nikawa nimesha mfahamu Kama mpigania haki.

Nikiwa advance level Minaki 1998-2000 May Bado nikawa namfuatilia Sugu na kambi yake kubwa ikiwa Mbeya.

2003 nikiwa kunduchi course (JW) Bado nikawa namsikia Sugu akiwa na msimamo uleule wa kupigania haki za watu.

Bado nikawa muhas 2004 - 2009, Sugu aliendelea kuipigania Mbeya na watu wake.

2010 nikiwa intern Mbeya, Sugu aliamua kuipigania Mbeya kwa njia nyingine kwa kujiunga na siasa, hasa akiimarisha upepo wa madiliko Mbeya kupitia chadema.

Mpaka leo Sugu yuko vilevile hajatetereka hata alipopelekwa gerezani kwa kuonewa, siku anatolewa tulimuona baba yetu Mwandosya akienda kumpokea kijana wake na kumpa maneno ya kumtia moyo.

Sasa huyo Tulia Ni nani? Naombeni maelezo Mimi mwana Mbeya mzalendo.

Sio wazalendo wa Lumumba. Mimi ni mzalendo mtanzania. Naipenda nchi yangu

Who is Tulia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nashangaa, alikuwaga black beauty lakini kwa sasa amezeeka.
Baada ya kuamia ccm kumbuka na hiyo ni studio photo 45 mega pixel
tapatalk_1581189158639.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Tulia anajitafutia aibu ya karne maana kwa wana mbeya hatumtaki kabisa.
Tulia anataka ubunge Mbeya mjini, Jimbo linaloshikiliwa na kijana mzalendo mwana Mbeya mwenzetu Sugu.

Sugu ni nani?
Nilianza kusikia Sugu/ 2Proud tangu nikiwa shule ya msingi Sisimba darasa la Saba mwaka 1993.

Nimeenda secondary 1994 - 1997, Bado nikawa nimesha mfahamu Kama mpigania haki.

Nikiwa advance level Minaki 1998-2000 May Bado nikawa namfuatilia Sugu na kambi yake kubwa ikiwa Mbeya.

2003 nikiwa kunduchi course (JW) Bado nikawa namsikia Sugu akiwa na msimamo uleule wa kupigania haki za watu.

Bado nikawa muhas 2004 - 2009, Sugu aliendelea kuipigania Mbeya na watu wake.

2010 nikiwa intern Mbeya, Sugu aliamua kuipigania Mbeya kwa njia nyingine kwa kujiunga na siasa, hasa akiimarisha upepo wa madiliko Mbeya kupitia chadema.

Mpaka leo Sugu yuko vilevile hajatetereka hata alipopelekwa gerezani kwa kuonewa, siku anatolewa tulimuona baba yetu Mwandosya akienda kumpokea kijana wake na kumpa maneno ya kumtia moyo.

Sasa huyo tulia Ni nani? Naombeni maelezo Mimi mwana Mbeya mzalendo.

Sio wazalendo wa Lumumba. Mimi ni mzalendo mtanzania. Naipenda nchi yangu

Who is tulia?

Mark Mwandosya alitumia nafasi ile kumkabidhi Sugu kwa Wananchi , mpaka leo CCM haielewi malengo ya Mwandosya ni yapi , waliandika barua ya kumwita Dodoma wakafuta bila kumkabidhi !
 
Back
Top Bottom