Aliyetaka kuongea na Mimi kwa Mara ya Mwisho Kabla ya Kujiuwa- Je katumwa na Mungu?

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
Tuwe Makini na Hukumu zetu kwa Watu bila kujua Vinasaba vyao na Genes zao..

Habari wana jf

Nimeona nilete hili kwenu ili mjifunze jambo, Katika jamii zetu kuna kuhukumia sana kuhusu Ushoga, wizi, umalaya, na tabia nyinginezo.. Unaweza ukapiga mtoto kwa tabia flani mpaka uka karibia kuuwa kumbe hukufanya ichunguzi wa genes au hitoria ya mababu na wazaz wake.

Issue yenyewe ni hivi.. Juzi kuna familia moja ilikuwa ina mtenga mtoto wao kwa kua walipata taarifa kuwa ana jihusisha na mambo ya mapenzi ya jinsia moja, kijana ana umri wa miaka 22, huyu kijana, alikuwa vyema kitaa akiwa kawaida tu na hata hivi sasa yupo kawaida sana kimuonekano yupo vocal kisela tu, ana misuli ya kiume sana tu haja legea popote useme uta muhisi baya . kamalia advance kaingia chuo sasa yupo mwak wapili Udsm, Kaka yake best na mimi na wazazi wao ni family friend wa familia yangu.

Kunakipindi kukawa na minong'ono kuwa huyu mtoto siyo riziki.. Ila ikafikia mahali baba yake na ndugu zake wakiume wakawa hawampendi kabisa na dogo akenda kupangisha mtaani.. Ila akawa karibu na dada yake na mama yake tu. Sasa bwana juzi nikawa maeneo flani nikasikia huyu kijana anapanga kujiuwa ..

Dada yake akanitafuta kuniambia Kwakuwa mm nimtu wa karibu na familia yao na pia katika mazungumzo ya huyo dada mtu akiwa na huyo kijana wao, alisha msikia Akisema kuwa ana niheshimu sana na ana amini anaweza niambia jambo na lika fika salama kwa kaka zake maana tume zoeana nao..yule dada yake aka niomba ni niwasiliane na na mdogo mtu ili tupange kukutana kwajili ya ushauri na maongezi ya kifamilia.

Basi nikapanga tuka kutana Mgahawa flani Upanga, Sehemu tulivu na yenye kusikizana, yule kijana alianza kuongea na mimi kwa uchungu uku akilia, akinikumbusha utotoni nilivyokuwa nawafundisha maisha wakiwa na mdogo wangu wakiume na nasaa za kucontrol mihamko yao, nakumbuka walikuwa kwenye miaka 16 hivi, Sasa aka niambia kuwa anakumbuka nilipokuwa nikiwauliza kuhusu wet dream.

kuhusu morning erection, kuhusu, chunusi nahisi kuwa juu waonapo mabinti, basi akaniambia kuwa yeye alikuwa ana wasikiliza wanavyo upjibu wale wenzake na yeye anajidai kweli ata yeye anapata vitu hivyo ili kuficha wenzake wasimcheke tu.. lakini anacho nihakikishia ni kwamba katika maisha yake haja wahi shughudia uume wake kusimama asubuhi wala popote pale yaan kwa kifupi hajui nini maana ya kusimamisha tangu anakuwa anasikia kwa watu tu.

Pili hajawahi ota wetdream maisha yake yote. na akasema viashiria vingi alivyo shughudia kwa wenzake yeye hakuwahi vipata ata sauti yak alikuja kuipata angalo yenye uzito kiasi alipofikisha miaka20 ingawa alishughudia wenziwe wakipata vocal wakiwa 15yrs.

Basi bana, nikaendelea kumdadisi. kuhusu hisia kwa wanawake akaniambi yeye hana kabisa ata mwanamke akiwa uchi akaniambia alisha wahi tafuta angalo picha za wanawake akajifanyia practice angalao aweze kuona uume wake ukisimama tangu akiwa 17 ila ilishindikana ila aliogopa kuwambia wenzake kwa kuofia kuchekwa, Lakin aka kiri kuwa akimuona mwanaume uchi mwili wake una sisimka na kujikuta anapata hamu ya ngono lakin uume hausimami na hivyo anajikuta anapata hamu ya kukumbatiwa na mwanaume au kumnyonya uume au anatamani sana achezewe njia ya nyuma maana anahisi hapo ndio ile hamu iliyomsisimua mwili na mapigo ya moyo kwenda mbio ita tulia.. na anakiri kuwa baada ya kujizuia kufanya hivyo kwa muda kuna siku ili mlazimu amshawishi kijana moja waliye kutana swiming pool tena kwa kumuhonga ela ili amruhuru kumnyonya uume wake na amuingilie ili kujua kama kitendo kile kinge amsha hisia zake za mbele badala yake hali ikawa tofauti akajikuta anapata raha zaidi liposhikwa na yule kijana sehemu za nyuma na hivyo kumruhusu amu ingilie, ana niambia baada ya tendo lile aligundua amepata raha kuliko ambavyo alivyo zani,. ingawaje bado uume wake hauku shtuka kwa kusimama bali alienjoy zaidi alipo ingiliwa kinyume na maumbile,

Akanimbia kwanzia hapo akwa akimuona mwaume akapata hisia mwili ukimsisimka anamtafuta yule kijana ana mhonga kisha kijana anamfanyia.. Na kwanzia hapo akagundua huo ndio upande anao weza kupata furaha na akajiona yuko sawa ingawa ansema alifanya hivyo kwa siri sana maana marafiki zake wakiume wote wana mademu zao na huwa anawasikia wakijisifia wanavyo furahia sex ila yeye anafurahi kwaupande huo mwingine ila kwa siri..

Kwa kweli nikirii mimi ni mgumu kuamini sana maneno nika ona nimshauri ili nidhibitishe kuwa kweli hasimamishi nimpeleke kwa doctor flani ambaye nirafiki yangu nikamuelezea doctor ful story nika mpanga kuwa nitamleta kijana wangu amwangalie kiafya kama kuna issue katika mfumo wake au amenidanganya kutaka kuhalalisha afanyacho, tukapanga siku nikampeleka yule kijana, Doctor akampima tena navipimo vya ziada vya hormone na kumfanyia practical kwenye uume wake kitaalamu kujua kama una sense kitu kwa maan ya sexual arose.

Alipo maliza alanipigia simu mm nilikuwa job, Kufika tukakaa wote watatu akanipa majibu, Kiukweli doctor alikiri kuwa kijana ni senseless kwenye eneo la organ zake za uzazi.. lakini pia dogo alikutwa na hormane imbalance ya hali ya juu yaan alizidiwa zaidi na zakike tena sana tu.

Chakushaaza doctor alifanyia Altra sound sijui na exray.. alicho gundua nikuwa mfumo wa huyu dogo ulikuwa na sehemu ya mji wa mimba kama wanavyo kuwa wanawake, ila haija unganika mpaka mwisho. Doctor aka kiri kuwa hii case ya pekee kwake maana walifundishwaga tu ila waliaminishwa ni very rare kukutanaa na issue iszo pengine mpaka wastafu wasinge kutana na case hizo maana nichache sana.

Kitaalamu doctor alikiri yule kijana kwa hormone zilizo kuwepo ndani yake ningumu kuwa mwanume wa kawaida katika uzazi na kwamba kama anapractice homosexual ni haki yake. maana hana njia yakupata sexual gratification bila kutumi njia yake ya nyuma kwa kuwa kuna misuli maalumu ya kusisimua hisia zake, na ziko connected na homorne zake.

Sasa hivi kijana huyu aliconnectiwa na madoctor Ugerman wana jaribu bahati yao kuona wata msaidiaje.. Yupo German tangu mwezi wa 9 mwaka huu.

Baada ya situation hii, nilipata wasaha wakukutana na familia yake nika waeleza n wao wakawa wabishi kuamini nika wapa number ya doctor wakafuatilia waka kuta nikweli wakajirudi nakumuomba mtoto msamaha maana walimtenga kwa mika mi3.

Je, kwa hili tukio nililo lisport mwenyewe bila kuhadisiwa.. na huyu kijana alikuwa anakaribia kujiua kwa kuto kusikilizwa na kutengwa.. kusemwa vibaya, hivi tume shajiuliza ni gays (Mashoga) wangapi uko mitaani wanaweza kuwa na hormone imbalance zinazo wapelekea kuwa walivyo? tuachilie mbali hili la huyu kijana lenye utofauti na uzito wa mpaka kuwa na uteras(mji wa mimba) ndani.. tuwaze tu Vitu vya kawida wanavyo zaliwa navyo watoto vya hormone imbalance waafrica tuna wacheck watoto wetu mapema au tunasubiria wakishafikia kwenye balehe pale hormone zinapo wa force kuwa upande flani tunaanza kuwa tenga.?? Kuwa sengenya na hata kuwauwa??

Tuweni na kiasi.. Kama wanweza zaliwa watoto wenye jinsia mbili, wengine wenye kuungana, wengine wenye ulemavu, Kwa nini jamii ya kiafrica hawazi mapungufu haya kuwa kuna ya ndani kama vile hormone na kuna ya Uzeruzeru, kuna ya Sikoseli.

Nilimuuliza yule kijana mbona nasikia unataka kujiuwa. akanimbia sina raha sana kama rafiki zangu wana wake wananipenda ila nawakwepa na hivyo nasemwa kuwa naringa ukija kwenye familia baba na kaka zangu hawaitaki, nimeona nikae nawewe nikueleze ili hata ikitokea nikiwa sipo hiyo siri yangu iwafikie wazazi wajue maumivu yangu..

Hii ndio kauli alinipa kabla ta kumpeleka hospital for check up. je ningemsikiliza nisijiongeze kumpeleka hospital.. ina maana alisha dhamiria kunipa siri yake kisha akajiuwe

Tuacheni chuki tujifunze watu huzaliwa na mapungufu.. not all are perfect . stop hatrage stop bullying.
 
We ulijuaje anataka kujiua ikiwa hujakuta juhudi zozote za yeye kujitoa uhai.

Ulimuuliza anawezaje gonoka akapitishiwa mwichi wa kiume adi kusikia raha , maana tuu choo kikiwa kigumu kundu huwaka moto.

Ujerumani unarudi lini, tuhakikishe kama tiba imefanya kazi
 
Yaan hataa sielewee yaan nikickiaa mtu anafirwa awe wakiume au wakike yaan nachanganyikiwa yaan sielewiii anaanzaje yaan ,natenda dhambi nyingi sana lkn hii ya ufiraji hpn hpn hpn
 
Mazee jamii ina mambo.. hahahah yaan nikisom coment nawaza IQ za watu wa hidunia ina nini?? hahahahaha dah.. amkweli Nime amini ni kwanini Mungu alikuwa ana angamiza vizazi kwa moto na maji.. Ubishi wa mwanadamu ni kiburi cha kupumbaa akili.. Any way.. Tufanye Hivyo mnavyo taka iwe je ikiwa hivyo ita eleweka na kutafakarika kwa upana wake??
 
Tuwe Makini na Hukumu zetu kwa Watu bila kujua Vinasaba vyao na Genes zao..

Habari wana jf

Nimeona nilete hili kwenu ili mjifunze jambo, Katika jamii zetu kuna kuhukumia sana kuhusu Ushoga, wizi, umalaya, na tabia nyinginezo.. Unaweza ukapiga mtoto kwa tabia flani mpaka uka karibia kuuwa kumbe hukufanya ichunguzi wa genes au hitoria ya mababu na wazaz wake.

Issue yenyewe ni hivi.. Juzi kuna familia moja ilikuwa ina mtenga mtoto wao kwa kua walipata taarifa kuwa ana jihusisha na mambo ya mapenzi ya jinsia moja, kijana ana umri wa miaka 22, huyu kijana, alikuwa vyema kitaa akiwa kawaida tu na hata hivi sasa yupo kawaida sana kimuonekano yupo vocal kisela tu, ana misuli ya kiume sana tu haja legea popote useme uta muhisi baya . kamalia advance kaingia chuo sasa yupo mwak wapili Udsm, Kaka yake best na mimi na wazazi wao ni family friend wa familia yangu.

Kunakipindi kukawa na minong'ono kuwa huyu mtoto siyo riziki.. Ila ikafikia mahali baba yake na ndugu zake wakiume wakawa hawampendi kabisa na dogo akenda kupangisha mtaani.. Ila akawa karibu na dada yake na mama yake tu. Sasa bwana juzi nikawa maeneo flani nikasikia huyu kijana anapanga kujiuwa .. Dada yake akanitafuta kuniambia Kwakuwa mm nimtu wa karibu na familia yao na pia katika mazungumzo ya huyo dada mtu akiwa na huyo kijana wao, alisha msikia Akisema kuwa ana niheshimu sana na ana amini anaweza niambia jambo na lika fika salama kwa kaka zake maana tume zoeana nao..yule dada yake aka niomba ni niwasiliane na na mdogo mtu ili tupange kukutana kwajili ya ushauri na maongezi ya kifamilia. Basi nikapanga tuka kutana Mgahawa flani Upanga, Sehemu tulivu na yenye kusikizana, yule kijana alianza kuongea na mimi kwa uchungu uku akilia, akinikumbusha utotoni nilivyokuwa nawafundisha maisha wakiwa na mdogo wangu wakiume na nasaa za kucontrol mihamko yao, nakumbuka walikuwa kwenye miaka 16 hivi, Sasa aka niambia kuwa anakumbuka nilipokuwa nikiwauliza kuhusu wet dream , kuhusu morning erection, kuhusu, chunusi nahisi kuwa juu waonapo mabinti, basi akaniambia kuwa yeye alikuwa ana wasikiliza wanavyo upjibu wale wenzake na yeye anajidai kweli ata yeye anapata vitu hivyo ili kuficha wenzake wasimcheke tu.. lakini anacho nihakikishia ni kwamba katika maisha yake haja wahi shughudia uume wake kusimama asubuhi wala popote pale yaan kwa kifupi hajui nini maana ya kusimamisha tangu anakuwa anasikia kwa watu tu. Pili hajawahi ota wetdream maisha yake yote. na akasema viashiria vingi alivyo shughudia kwa wenzake yeye hakuwahi vipata ata sauti yak alikuja kuipata angalo yenye uzito kiasi alipofikisha miaka20 ingawa alishughudia wenziwe wakipata vocal wakiwa 15yrs.

Basi bana, nikaendelea kumdadisi. kuhusu hisia kwa wanawake akaniambi yeye hana kabisa ata mwanamke akiwa uchi akaniambia alisha wahi tafuta angalo picha za wanawake akajifanyia practice angalao aweze kuona uume wake ukisimama tangu akiwa 17 ila ilishindikana ila aliogopa kuwambia wenzake kwa kuofia kuchekwa, Lakin aka kiri kuwa akimuona mwanaume uchi mwili wake una sisimka na kujikuta anapata hamu ya ngono lakin uume hausimami na hivyo anajikuta anapata hamu ya kukumbatiwa na mwanaume au kumnyonya uume au anatamani sana achezewe njia ya nyuma maana anahisi hapo ndio ile hamu iliyomsisimua mwili na mapigo ya moyo kwenda mbio ita tulia.. na anakiri kuwa baada ya kujizuia kufanya hivyo kwa muda kuna siku ili mlazimu amshawishi kijana moja waliye kutana swiming pool tena kwa kumuhonga ela ili amruhuru kumnyonya uume wake na amuingilie ili kujua kama kitendo kile kinge amsha hisia zake za mbele badala yake hali ikawa tofauti akajikuta anapata raha zaidi liposhikwa na yule kijana sehemu za nyuma na hivyo kumruhusu amu ingilie, ana niambia baada ya tendo lile aligundua amepata raha kuliko ambavyo alivyo zani,. ingawaje bado uume wake hauku shtuka kwa kusimama bali alienjoy zaidi alipo ingiliwa kinyume na maumbile,

Akanimbia kwanzia hapo akwa akimuona mwaume akapata hisia mwili ukimsisimka anamtafuta yule kijana ana mhonga kisha kijana anamfanyia.. Na kwanzia hapo akagundua huo ndio upande anao weza kupata furaha na akajiona yuko sawa ingawa ansema alifanya hivyo kwa siri sana maana marafiki zake wakiume wote wana mademu zao na huwa anawasikia wakijisifia wanavyo furahia sex ila yeye anafurahi kwaupande huo mwingine ila kwa siri..

Kwa kweli nikirii mimi ni mgumu kuamini sana maneno nika ona nimshauri ili nidhibitishe kuwa kweli hasimamishi nimpeleke kwa doctor flani ambaye nirafiki yangu nikamuelezea doctor ful story nika mpanga kuwa nitamleta kijana wangu amwangalie kiafya kama kuna issue katika mfumo wake au amenidanganya kutaka kuhalalisha afanyacho, tukapanga siku nikampeleka yule kijana, Doctor akampima tena navipimo vya ziada vya hormone na kumfanyia practical kwenye uume wake kitaalamu kujua kama una sense kitu kwa maan ya sexual arose. Alipo maliza alanipigia simu mm nilikuwa job, Kufika tukakaa wote watatu akanipa majibu, Kiukweli doctor alikiri kuwa kijana ni senseless kwenye eneo la organ zake za uzazi.. lakini pia dogo alikutwa na hormane imbalance ya hali ya juu yaan alizidiwa zaidi na zakike tena sana tu. Chakushaaza doctor alifanyia Altra sound sijui na exray.. alicho gundua nikuwa mfumo wa huyu dogo ulikuwa na sehemu ya mji wa mimba kama wanavyo kuwa wanawake, ila haija unganika mpaka mwisho. Doctor aka kiri kuwa hii case ya pekee kwake maana walifundishwaga tu ila waliaminishwa ni very rare kukutanaa na issue iszo pengine mpaka wastafu wasinge kutana na case hizo maana nichache sana.

Kitaalamu doctor alikiri yule kijana kwa hormone zilizo kuwepo ndani yake ningumu kuwa mwanume wa kawaida katika uzazi na kwamba kama anapractice homosexual ni haki yake. maana hana njia yakupata sexual gratification bila kutumi njia yake ya nyuma kwa kuwa kuna misuli maalumu ya kusisimua hisia zake, na ziko connected na homorne zake.

Sasa hivi kijana huyu aliconnectiwa na madoctor Ugerman wana jaribu bahati yao kuona wata msaidiaje.. Yupo German tangu mwezi wa 9 mwaka huu.

Baada ya situation hii, nilipata wasaha wakukutana na familia yake nika waeleza n wao wakawa wabishi kuamini nika wapa number ya doctor wakafuatilia waka kuta nikweli wakajirudi nakumuomba mtoto msamaha maana walimtenga kwa mika mi3.

Je ! kwa hili tukio nililo lisport mwenyewe bila kuhadisiwa.. na huyu kijana alikuwa anakaribia kujiua kwa kuto kusikilizwa na kutengwa.. kusemwa vibaya, hivi tume shajiuliza ni gays (Mashoga) wangapi uko mitaani wanaweza kuwa na hormone imbalance zinazo wapelekea kuwa walivyo? tuachilie mbali hili la huyu kijana lenye utofauti na uzito wa mpaka kuwa na uteras(mji wa mimba) ndani.. tuwaze tu Vitu vya kawida wanavyo zaliwa navyo watoto vya hormone imbalance waafrica tuna wacheck watoto wetu mapema au tunasubiria wakishafikia kwenye balehe pale hormone zinapo wa force kuwa upande flani tunaanza kuwa tenga.?? Kuwa sengenya na hata kuwauwa??

Tuweni na kiasi.. Kama wanweza zaliwa watoto wenye jinsia mbili, wengine wenye kuungana, wengine wenye ulemavu, Kwa nini jamii ya kiafrica hawazi mapungufu haya kuwa kuna ya ndani kama vile hormone na kuna ya Uzeruzeru, kuna ya Sikoseli.

Nilimuuliza yule kijana mbona nasikia unataka kujiuwa. akanimbia sina raha sana kama rafiki zangu wana wake wananipenda ila nawakwepa na hivyo nasemwa kuwa naringa ukija kwenye familia baba na kaka zangu hawaitaki, nimeona nikae nawewe nikueleze ili hata ikitokea nikiwa sipo hiyo siri yangu iwafikie wazazi wajue maumivu yangu..

Hii ndio kauli alinipa kabla ta kumpeleka hospital for check up. je ningemsikiliza nisijiongeze kumpeleka hospital.. ina maana alisha dhamiria kunipa siri yake kisha akajiuwe

Tuacheni chuki tujifunze watu huzaliwa na mapungufu.. not all are perfect . stop hatrage stop bullying.
Upo germany ipi nije kukutembelea.....
 
Back
Top Bottom